Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Hizo ni story zilizosndikwa na wagalatia wenzanko Ili waendelee kukudanganyeni

Kama Kuna mtu amekuambia kuwa mtume Muhammad ndio Muislam wa kwanza tokea kuunbwa Kwa Dunia Jua kuwa amekudanganya

Quran 42:13
- Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.

Huyo Isa hapo ndio Yesu Quran inasema alikuwa Muislam

Sasa nenda ukawaulize hao wagalatia wenzanko waliokudanganya kuwa Muislam wa kwanza hapa Duniani ni mtume Muhammad s.a.w

Nuhu alikuwa na dini gani
Ibrahim alikuwa na dini gani
Musa alikuwa na dini gani
Ushajuzwa uislamu umenanza juzi tu.
Ukristo ulioletwa na YEsu[ambapo Yesu ni Mungu wa Wote wenye mwili] ulikuta duniani kuna dini nyingi za Kirumi na kiyahudi, za Masadukayo na Mafarisayo lakini SI UISLAMU.
 
Ayatolah Bin Kilemba anayeapa kuwa Sunni ni dhaifu kwa Shia nae unamuongeleaje?
I130614c.jpg
 
... waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
Hata mimi hadi leo unaposoma hii reply ningesirimu ila hapo ndiyo shida!.
 
Alhamdulillah,Allah kwa kuniumba mimi kuwa muislam,au la ingekuwa namimi muda huu niko zangu naruka ruka kukanyaga mafuta ili nipate baraka za kupata mali,hakika ametakasika mwenyezmungu.
Allah yuko uarabuni wewe umezaliwa africa halafu unasema Allah kakuumba What a crazy?
 
Ushajuzwa uislamu umenanza juzi tu.
Ukristo ulioletwa na YEsu[ambapo Yesu ni Mungu wa Wote wenye mwili] ulikuta duniani kuna dini nyingi za Kirumi na kiyahudi, za Masadukayo na Mafarisayo lakini SI UISLAMU.
Toka Lin sasa Mungu akaenda chooni kukata gogo?

Nawewe unakubali kabisa kuongopewa kuwa Yesu ni Mungu,umeskia wapi Mungu anaenda chooni kunya mavi?
 
Kwani wewe umesha wahi kuwekwa kinyumba na huyo Mungu mpaka ukajua kwamba hanyagi?
 
Kwanza Usilamu hauchukuli mwanamke kama kiumbe dhaifu, katika uislamu kila mtu yupo sawa mbele ya mungu, Ila uislamu unasisitiza mwanaume awe kiongozi wa mwanamke na yeye mwanaume ndio awe mtu wa mwisho kwenye kutoa na kuchukua maamuzi.

Pili hizo sheria za kislamu unazosema watu wanajichukulia mkononi zina utaratibu wake wa kutolea hawezi fanya kila muislam, kuna viongozi ambao wapo na wao ndio wenye mamlaka ya kutimiza hizo sheria, na hakuna sheria kwamba ukihama uislamu uuliwe, sijawahi iona hii.

Tatu hayo makundi uliyoyataja yana ajenda zao na hizo nchi tajawa lakini kwa sababu ni waislamu basi inakua kama washapata kivuli cha kujifichia lakini ki uhalisia HAKUNA aya yoyote katika QURAN inayosema unatakiwa utoe roho ya mtu ambae hafuati uislamu, hakuna hicho kitu na jukumu hilo ni la mungu tu

Kuhusu passport na watu wa jamii za nchi za kiarabu kuzuliwa kuondoka nchini kwao hili ni kinyume kwa sababu.
Kwanza waarabu sio watu wa kutembea sana wengi wanapenda kuwa kwao.
Na pia ukifuatilia nchi za Qatar, UAE, SAUDIA ARABIA, PAKISTAN, na nyenginezo wanarai wengi katika nchi kubwa za duniani kama MAREKANI, UK na nchi nyengine za ULAYA.

Mtoa post rudi kafanye ufuatiliaji wa kina alafu lete mrejesho, La sivyo hapa umefananisha asili ya kikundi cha watu wa ania fulani kwa sababu ni dini fulani.
Wewe ndio ukafanye utafiti. Huyo mwenyewe aliyeueneza alitumia upanga
 
Kwani wewe umesha wahi kuwekwa kinyumba na huyo Mungu mpaka ukajua kwamba hanyagi?
MUNGU WANGU MIMI HAKUZAA,WALA HAKUZALIWA NA WALA HAKUNA KIUMBE HATA KIMOJA AMBACHO ANAFANANA NACHO,MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI NA VYOTE VILIVYOMO,MWENYE KUTOA UHAI NA KIFO,NA NDIYE MFALME PEKEE WA SIKU KUUBWA YA MALIPO YA MATENDO YETU,ILA SASA MUNGU WAKO YESU KWANI NI UONGO KUWA ALIKUWA ANAENDA CHOONI KUNYA MAVI??
 
Mimi ni mkristo ila nauteyea uislam. Uislam kama dini haifundishi ukatili hata siku moja, ila katika imani zote huwa kuna watu unaowaita wakatili, wapo tayari kuua, kutesa kwa sababu ya dini zao, ukristo ukiufuatilia kuna kanisa moja kubwa kuliko yote walikuwa wanachemsha watu kwenye mapipa ya mafuta, walirusha watu kwenye simba wenye njaa, walirusha watu kwenye matanuru,
Uislam ni dini ya haki. Ukiangalia ni watu wangapi hueaendea wakristo kuwaomba msaada na ni watu wangapi huwaendea waislam kuwaomba msaada utakugua jambo.
Sisi wakristo hatuna tunachojivunia
Hujui kitu wewe tulia
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.

Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.

Juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo hatafata sheria za Uislamu.

Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini.

Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa Kimarekani na wa nchi za Ulaya, kupelekea nchi za Mashariki ya Kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.

Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa Bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha.

Hata hawa waislam wa Bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au Afaghanstan, wangeelewa shoo.

Juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, Waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za Uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu, wanabanwa na kunyimwa passport.

Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
Uislamu hata upakwe rangi gani hiyo rangi itachubuka itabaki rangi yake halisi nyeusi
 
Ukatili ndio Uislam wenyewe
 
Hivi unafahamu maana ya kijichukulia sheria mkononi?
 
Shida kubwa ya Muslims... especially wa mtandaoni na kibongobongo ni kuwa wafia dini wasio na maarifa.

They give vibes kama ni "cult", having a muslim husband at some point a thought of kuwa Muslim ilicross my mind, lakini the more I was digging the more I lost interest and sikuona possibility ya kuwa na community solid katika mazingira yangu ili kukua kiimani kama niliyonayo kanisani
 
Sidhani kama unaielewa dini ya kiislam vizuri
Kwanza hakuna mahali imesema wanawake wanyanyashwe
Ila pia angalia wanawake wa wapi wanaonyanyashwa hata kingono au kiuongozi kama nchi zetu
Kuwa na Rais mwanamke kwetu kila leo kelele sasa mlimpa ya nini U Makamo
Bora ungeliweka kama maswali ili ujibiwe

Ila kama hata nchi za kiarabu hujafika na kuona wanavyoishi tuulize
 
Back
Top Bottom