Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Mimi ni mkristo ila nauteyea uislam. Uislam kama dini haifundishi ukatili hata siku moja, ila katika imani zote huwa kuna watu unaowaita wakatili, wapo tayari kuua, kutesa kwa sababu ya dini zao, ukristo ukiufuatilia kuna kanisa moja kubwa kuliko yote walikuwa wanachemsha watu kwenye mapipa ya mafuta, walirusha watu kwenye simba wenye njaa, walirusha watu kwenye matanuru,
Uislam ni dini ya haki. Ukiangalia ni watu wangapi hueaendea wakristo kuwaomba msaada na ni watu wangapi huwaendea waislam kuwaomba msaada utakugua jambo.
Sisi wakristo hatuna tunachojivunia
huujui uislam
uislam na ukatili ni kitu kimoja.
uislam=UGAIDI
 
Mimi ni mkristo ila nauteyea uislam. Uislam kama dini haifundishi ukatili hata siku moja, ila katika imani zote huwa kuna watu unaowaita wakatili, wapo tayari kuua, kutesa kwa sababu ya dini zao, ukristo ukiufuatilia kuna kanisa moja kubwa kuliko yote walikuwa wanachemsha watu kwenye mapipa ya mafuta, walirusha watu kwenye simba wenye njaa, walirusha watu kwenye matanuru,
Uislam ni dini ya haki. Ukiangalia ni watu wangapi hueaendea wakristo kuwaomba msaada na ni watu wangapi huwaendea waislam kuwaomba msaada utakugua jambo.
Sisi wakristo hatuna tunachojivunia
Umechanganya Uji na Maharagwe!
JF si pa kukurupuka, jiandae sana kabla ya kugusa kifaa chakoo na kuandika.

NAKUNUKUU:
ukristo ukiufuatilia kuna kanisa moja kubwa kuliko yote walikuwa wanachemsha watu kwenye mapipa ya mafuta, walirusha watu kwenye simba wenye njaa, walirusha watu kwenye matanuru,
Hao waliofanya hivyo kwanza unamaanisha ROMAN CATHOLIC, sawa, kwa taarifa yako hao hawakuwa wa KRISTO, u-kristo umeingia duniani miaka 2023 iliyopita baada ya kuja kwa YESU KRISTU na watu waliofuata imani yake[walio mpokea na kuokoka ndio wa kristo] kama hujaokoka wewe ni mtu wa dini "gentile" na bado si mkristo , mfano hawa Wayahudi wa Israel wanaotembeza kichapo kwa wapelstina SI WAKRISTO na mpaka sasa wansubiri Yesu aje .

Hao uliotaja walitupwa kwenye pango la simba, walichemshwa kwenye pipa ilikuwa kabla ya kristo hivyo si "WA -KRISTO"
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.

Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.

Juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo hatafata sheria za Uislamu.

Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini.

Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa Kimarekani na wa nchi za Ulaya, kupelekea nchi za Mashariki ya Kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.

Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa Bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha.

Hata hawa waislam wa Bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au Afaghanstan, wangeelewa shoo.

Juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, Waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za Uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu, wanabanwa na kunyimwa passport.

Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
Kwahiyo Yesu ni gaidi? Maana Yesu nae ni Muislam

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hata wewe Leo hii ukiamini Mungu ni mmoja na huyo Mungu mmoja ndio alimtuma Yesu utakuwa Muislam kama Yesu
 
Siku ya Wajinga si 1-4- kila Mwaka?
UISLAMU
Uislamu ulianza rasmi karibu mwaka 610 AD huko Makkah, ambayo sasa ni sehemu ya nchi ya Saudi Arabia.
Muhammad (S.A.W), ambaye ni mwanzilishi wa Uislamu, alipokea ufunuo wa kwanza kutoka kwa Mwenyezi Mungu kupitia Malaika Gabrieli wakati alikuwa akijitenga kwa ibada katika pango la Hira.
Ufunuo huo wa kwanza ulimtangaza Muhammad kuwa Mtume na ulianzisha msingi wa dini ya Uislamu.

Kuanzia hapo, Muhammad aliendelea kupokea ufunuo mwingi ambao baadaye uliandikwa na kufanywa kuwa Qur'an, kitabu cha Waislamu. Kazi ya kuhubiri na kueneza ujumbe wa Uislamu ilianza huko Makkah na kuendelea baadaye huko Madinah baada ya Hijra (kuhama), ambayo ilikuwa mwaka 622 AD. Hijra pia inahesabiwa kama mwanzo wa kalenda ya Kiislamu.
UKRISTO

Ukristo ulianza kama dini ya kujitenga ndani ya Uyahudi karibu karne ya kwanza AD. Yesu Kristo, mwanzilishi wa Ukristo, alizaliwa karibu mwaka 4 BC huko Bethlehem na kusulubiwa msalabani mwaka 30-33 AD huko Yerusalemu.
Mambo muhimu ya maisha, mafundisho, kifo, na ufufuo wa Yesu Kristo yaliunda msingi wa imani ya Kikristo.

Baada ya kifo chake, wafuasi wa Yesu, waliitwa Wakristo, walianza kuhubiri mafundisho yake na kuanzisha jamii zao za Kikristo. Kuanzia huko, Ukristo uliendelea kupanuka pole pole kupitia jitihada za mitume, wafuasi wake, na wamishonari wengine. Mkutano wa kwanza wa Kikristo wa Mitume, unaoitwa Mtaguso wa Yerusalemu, ulifanyika karibu mwaka 50 AD na ulisaidia kuunda mwelekeo wa mapema wa Kanisa la Kikristo

Kwahiyo mpagani, ukiwa Mfuasi wa Yesu wewe ndio mkristo.
Wafuasi wa Mwamedi ndio WAISLAMU.
Sasa lini Yesu alipaa mbinguni akaja tena kukaa zaidi ya miaka 500 ndio uislamu ukaingia akawa tena Muislamu? Yaani Mungu atoke Mbinguni aje duniani kuwa muumini wa mtu wa duniani?

wewe jamaa!!! ata ukristo zamani ulikuwa na masharti makali sana,,,unakumbuka YESU alimkuta anamke mzinzi akitaka kuuliwa kwa kupigwa mawe,lakini akauliza ule umma" ambaye hazini awe wa kwanza kumpiga mawe wa2 wakanywea" any way..mimi ni mkriso lakini nasema kweli bila ukali wa waislam leo hii MUNGU angesahateketeza dunia!!! upole waikrsto matokeo yake USENGE umehalalishwa!! PAPA PAPAI keshahalalisha!!
 
Sema waislam wanazaa sana kuliko wakristo. mtu una wake 4 alafu kila mmoja watoto 7 na kuendekea.
😅Sasa hiyo sio weekness ya dini , ni wewe mwenyewe kwani hakuna
mtu atakuja kukulazimisha uwe na watoto saba au wake watatu ,ukiamua kuwa na mmoja sawa

Sheria haijasema lazima uwe na wake watatu au wawili imetoa fursa kama una uwezo kuwahudumia ndio ufanye hauwezi unakausha
 
Huo ukatili ndio unaofanya manyangu yasio na dini yasitupelekeshe kutuamulia mambo yenu nyie mnawalegezea matokeo yake ndio mnapelekewa moto midume mizima inalilia ndoa ya kufirika
 
Kwahiyo Yesu ni gaidi? Maana Yesu nae ni Muislam

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hata wewe Leo hii ukiamini Mungu ni mmoja na huyo Mungu mmoja ndio alimtuma Yesu utakuwa Muislam kama Yesu
Nyie bwana mna uwezo mdogo sana wa kufikiria ndio maana mnadharauliwa? Yaani ukiamini Mungu mmoja ushakuwa muislam? Je vipi kuhusu nguzo za uislamu? Zinasema ili uwe muislam unatakiwa ufanyaje?
 
Huo ukatili ndio unaofanya manyangu yasio na dini yasitupelekeshe kutuamulia mambo yenu nyie mnawalegezea matokeo yake ndio mnapelekewa moto midume mizima inalilia ndoa ya kufirika
Mbona Waislam ndio wanaongoza kufirika kwa hapa Tanzania na duniani kote? Mboan katika dini zote, Muhammad peke yake ndio aliyefanya kitendo cha kishoga?

Hadithi Idadi 16,245 inaonesha namna Muddy alivyomnyonya ulimi na kuulamba mdomo wa Mwanaume mwenzake Al mwana wa Hassan na kisha kuuchezea uume wake? Hii ni nini?

Mbona wewe ni muislam na huna rinda hata moja? Pumbavu mkubwa wewe.
 
wewe jamaa!!! ata ukristo zamani ulikuwa na masharti makali sana,,,unakumbuka YESU alimkuta anamke mzinzi akitaka kuuliwa kwa kupigwa mawe,lakini akauliza ule umma" ambaye hazini awe wa kwanza kumpiga mawe wa2 wakanywea" any way..mimi ni mkriso lakini nasema kweli bila ukali wa waislam leo hii MUNGU angesahateketeza dunia!!! upole waikrsto matokeo yake USENGE umehalalishwa!! PAPA PAPAI keshahalalisha!!
Hakuna Mkristo mpuuzi na mjinga kama wewe. Wakristo gani hao walitaka kumpiga mawe mwanamke aliyefumaniwa wakampeleka kwa Yesu?
 
Umechanganya Uji na Maharagwe!
JF si pa kukurupuka, jiandae sana kabla ya kugusa kifaa chakoo na kuandika.

NAKUNUKUU:

Hao waliofanya hivyo kwanza unamaanisha ROMAN CATHOLIC, sawa, kwa taarifa yako hao hawakuwa wa KRISTO, u-kristo umeingia duniani miaka 2023 iliyopita baada ya kuja kwa YESU KRISTU na watu waliofuata imani yake[walio mpokea na kuokoka ndio wa kristo] kama hujaokoka wewe ni mtu wa dini "gentile" na bado si mkristo , mfano hawa Wayahudi wa Israel wanaotembeza kichapo kwa wapelstina SI WAKRISTO na mpaka sasa wansubiri Yesu aje .

Hao uliotaja walitupwa kwenye pango la simba, walichemshwa kwenye pipa ilikuwa kabla ya kristo hivyo si "WA -KRISTO"
unaongea pumba roman imefanya mauaji ya mamilion wasiohesabika ndani ya karne ya 1 , 15 16 17 ..........hujui biblia unajilopokea tu....yohana alichemshwa kwenye piapa la mafuta hakuwa mkristo? paulo alichinjwa na msumeno hakuwa mkristo? petro alisulubiwa na roma hakuwa mkristo? ukisoma matendo ya mitume utaona jinsi yakobo alivouwawa kikatili na roma hakuwa mkristo?...ktk krne ya 1 15 16 17 wakristo maelfu waliuawa ( enzi izo walokole hawakuwepo) ulokole ni wa juzi tu.....na nahisi hujui maana ya kuokoka ......(will be saved ) ..ebu iseme kwa kingereza iyo kuokoka tuone
 
Ngoja tufanye majaribio.
Leo naichoma Biblia hadharani na kujirekodi.
Kesho naichoma Qurani hadharani na kujirekodi.
Halafu nasikilizia ni waumi gani wana busara.
Alhamdulillah,Allah hakika kanifanyia favor kubwa sana mimi kuniumba binadam na ksha kuwa muislam.

Kama sio hivyo hivi sasa ningekuwa namimi nahangaika na amri ya PAPA ya kunitaka nifunge ndoa niolewe.
 
vita ya kidini huanza hivi hivi kidogo kidogo, kwamba uhuru ni wa kutoa maoni au haki ya kutoa maoni ,kumbe unaumiza imani za watu.......
Huyu jamaa anapenda udini Sana yaaan Uzi zake zote ni uislam na yeye nini shida bila kujua anapandikiza chuki mbaya zaidi mtu ukiongelea vibaya Imani yake lazima aje juu si kitu kizuri hata kidogo amini unachoamini na sio kupondea imani ya mwenzako
 
Alhamdulillah,Allah hakika kanifanyia favor kubwa sana mimi kuniumba binadam na ksha kuwa muislam.

Kama sio hivyo hivi sasa ningekuwa namimi nahangaika na amri ya PAPA ya kunitaka nifunge ndoa niolewe.
Ni mtumwa tu huna lolote
 
Siku ya Wajinga si 1-4- kila Mwaka?
UISLAMU
Uislamu ulianza rasmi karibu mwaka 610 AD huko Makkah, ambayo sasa ni sehemu ya nchi ya Saudi Arabia.
Muhammad (S.A.W), ambaye ni mwanzilishi wa Uislamu, alipokea ufunuo wa kwanza kutoka kwa Mwenyezi Mungu kupitia Malaika Gabrieli wakati alikuwa akijitenga kwa ibada katika pango la Hira.
Ufunuo huo wa kwanza ulimtangaza Muhammad kuwa Mtume na ulianzisha msingi wa dini ya Uislamu.

Kuanzia hapo, Muhammad aliendelea kupokea ufunuo mwingi ambao baadaye uliandikwa na kufanywa kuwa Qur'an, kitabu cha Waislamu. Kazi ya kuhubiri na kueneza ujumbe wa Uislamu ilianza huko Makkah na kuendelea baadaye huko Madinah baada ya Hijra (kuhama), ambayo ilikuwa mwaka 622 AD. Hijra pia inahesabiwa kama mwanzo wa kalenda ya Kiislamu.
UKRISTO

Ukristo ulianza kama dini ya kujitenga ndani ya Uyahudi karibu karne ya kwanza AD. Yesu Kristo, mwanzilishi wa Ukristo, alizaliwa karibu mwaka 4 BC huko Bethlehem na kusulubiwa msalabani mwaka 30-33 AD huko Yerusalemu.
Mambo muhimu ya maisha, mafundisho, kifo, na ufufuo wa Yesu Kristo yaliunda msingi wa imani ya Kikristo.

Baada ya kifo chake, wafuasi wa Yesu, waliitwa Wakristo, walianza kuhubiri mafundisho yake na kuanzisha jamii zao za Kikristo. Kuanzia huko, Ukristo uliendelea kupanuka pole pole kupitia jitihada za mitume, wafuasi wake, na wamishonari wengine. Mkutano wa kwanza wa Kikristo wa Mitume, unaoitwa Mtaguso wa Yerusalemu, ulifanyika karibu mwaka 50 AD na ulisaidia kuunda mwelekeo wa mapema wa Kanisa la Kikristo

Kwahiyo mpagani, ukiwa Mfuasi wa Yesu wewe ndio mkristo.
Wafuasi wa Mwamedi ndio WAISLAMU.
Sasa lini Yesu alipaa mbinguni akaja tena kukaa zaidi ya miaka 500 ndio uislamu ukaingia akawa tena Muislamu? Yaani Mungu atoke Mbinguni aje duniani kuwa muumini wa mtu wa duniani?

Hizo ni story zilizosndikwa na wagalatia wenzanko Ili waendelee kukudanganyeni

Kama Kuna mtu amekuambia kuwa mtume Muhammad ndio Muislam wa kwanza tokea kuunbwa Kwa Dunia Jua kuwa amekudanganya

Quran 42:13
- Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.

Huyo Isa hapo ndio Yesu Quran inasema alikuwa Muislam

Sasa nenda ukawaulize hao wagalatia wenzanko waliokudanganya kuwa Muislam wa kwanza hapa Duniani ni mtume Muhammad s.a.w

Nuhu alikuwa na dini gani
Ibrahim alikuwa na dini gani
Musa alikuwa na dini gani
 
Back
Top Bottom