Ujanja wa Rais Samia kutumia mpira kujizolea kura huku ripoti muhimu ya CAG iliyojaa wala rushwa ipo kapuni

Nyie mtakufa kwa presha.
Mama katulia analiongoza taifa kwenda kwenye dahari ya dhahabu (golden age)
Bila huyu mama mungekua sasa mnaishi kama misukule.
 
Frankly speaking samia hajui chochote kuhusu mpira! support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa ccm ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa simba na yanga basi kura karibia zote unazo!!

Swali dogo tu;Je ni lini umemsikia samia akipongeza timu kama ihefu,dodoma jiji etc wakipata ushindi kwenye NBCPL?? Jibu ni rahisi hawa hawana positive impact kwake!

1•Samia tunataka kuona unachukua hatua kwa mafisadi yaliopo kwenye report ya CAG.

2•Mkataba wa bandari upitiwe upya pia..
NAKAZIA
 
Hizi report za CAG zinatoka kila mwaka, kuna awamu gani imeshawahi kuwa na report safi kabisa?.

Acheni nongwa za kipumbavu watanzania.

Michezo ndio inayafanya mataifa kama Ivory Coast yawe na amani baada ya vita za miaka na miaka.

Michezo kwa maana ya medali za dhahabu na wakimbiaji wa mita mia ndio inauficha umaskini wa jumla wa Jamaica.

Michezo ni heshima ya taifa. Ni nchi yenye kujaa washamba pekee isiyoelewa maana na faida za michezo.

Kuhusu mkataba wa bandari nakushauri tafuta mada nyingine za kuumiza kichwa chako, hilo jambo ndio limeshapita.
Nakubaliana na wewe ila hili la kuleta siasa michezoni ni sumu mbaya, itaua hata hiyo michezo yenyewe. Leo uwanja mzima mmesambaza picha za mama yenu! Mwambieni hazitamsaidia kitu, mtaani wananchi hawamuelewi.
 
Frankly speaking samia hajui chochote kuhusu mpira! support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa ccm ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa simba na yanga basi kura karibia zote unazo!!

Swali dogo tu;Je ni lini umemsikia samia akipongeza timu kama ihefu,dodoma jiji etc wakipata ushindi kwenye NBCPL?? Jibu ni rahisi hawa hawana positive impact kwake!

1•Samia tunataka kuona unachukua hatua kwa mafisadi yaliopo kwenye report ya CAG.

2•Mkataba wa bandari upitiwe upya pia..
Watanzania wengi ni maskini na huwa hawafuatili mambo muhimu yanoyohusu kodi zao.
 
Wataabzania wengi ni maskin na huwa hawafuatili mambo mhim yanoyohusu kodi zao ,
Mtu akila mlo mmoja na kupata bando la elfu anapiga makofi👏👏
Anasahau kuwa kuna majizi yanachota matrillion serikalini ambayo ndiyo chanzo cha maisha yake mabovu.
 
Frankly speaking samia hajui chochote kuhusu mpira! support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa ccm ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa simba na yanga basi kura karibia zote unazo!!

Swali dogo tu;Je ni lini umemsikia samia akipongeza timu kama ihefu,dodoma jiji etc wakipata ushindi kwenye NBCPL?? Jibu ni rahisi hawa hawana positive impact kwake!

1•Samia tunataka kuona unachukua hatua kwa mafisadi yaliopo kwenye report ya CAG.

2•Mkataba wa bandari upitiwe upya pia..
Naunga mkono hoja
 
Umeongea vzr, na anajidanganya tu, yaani kila mechi ya yanga vs Simba ndo utaona ujinga huu. Wewe sa100 kumbuka kizur kinajiuza kibaya kinajitembeza. Wewe unajitembeza
 
Frankly speaking samia hajui chochote kuhusu mpira! support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa ccm ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa simba na yanga basi kura karibia zote unazo!!

Swali dogo tu;Je ni lini umemsikia samia akipongeza timu kama ihefu,dodoma jiji etc wakipata ushindi kwenye NBCPL?? Jibu ni rahisi hawa hawana positive impact kwake!

1•Samia tunataka kuona unachukua hatua kwa mafisadi yaliopo kwenye report ya CAG.

2•Mkataba wa bandari upitiwe upya pia..
Utaumia sana na bado Samia atakuwasha nchi nzima kwa ajili ya kuibua vipaji.Kunywa sumu kama unaumia saana
 
So? Imekua kosa kushirik furaha dah ufip tuna tabu sana
 
Frankly speaking Samia hajui chochote kuhusu mpira! Support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa CCM ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa Simba na Yanga basi kura karibia zote unazo!!

Swali dogo tu;Je ni lini umemsikia Samia akipongeza timu kama Ihefu, Dodoma jiji etc wakipata ushindi kwenye NBCPL??
Jibu ni rahisi hawa hawana positive impact kwake!

1• Samia tunataka kuona unachukua hatua kwa mafisadi yaliopo kwenye report ya CAG.

2• Mkataba wa bandari upitiwe upya pia..
Si Bora na Samia kafungua maelfu ya kesi,wale Wala Rushwa wa awamu ya 5 waliokuwa wanafukuza CAG walirudisha pesa?

Samia apewe maua yake.

View: https://twitter.com/mwigulunchemba1/status/1721412876982694135?t=PajxVnIzKhkgygmGAEL7ug&s=19
 
Maigizo Kwa nani? CAG kaingezewa pesa

CAG kaongezewa Ajira

CAG anakagua Value for money

CAG ameambiwa sema yote

Wezi qanafungwa na kufutwa kazi eg DK Pima wa Arusha CC

Yule mwingine alikuwa anafukuza CAG badala ya Wezi 😂😂😂😂

Nani anafanya maigizo kati ya hao wawili?

Mwigulu Huwa anapenda kuuliza swali kwamba kama Kuna wezi na maendeleo yanafanyika Kwa Ukubwa huu,wakati hakuna wezi pesa zilikuwa Zinaenda Wapi ilhali Kila kitu kilikuwa kinasua sua?

Genge la Magufuli likiongozwa na Kalemani walikuwa wanajichotea mapesa,Bila Samia wizi huu hapa ungeendelea
Screenshot_20221119-094007.png
Screenshot_20221119-093841.png
 
Huyo anaweza kushitakiwa kwa defamation akiyasema hayo nje ya bunge.

Kama kidume kweli ayaseme hayo akiwa nje ya ubunge.

Hata hapo mbona inatosha sana? Kwani Samia hajasikia tu akahitaji japo kuchukua hatua? Ni ustaarabu kuchunguzwa kwa tuhuma nzito kama hizi.
 
Frankly speaking Samia hajui chochote kuhusu mpira! Support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa CCM ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa Simba na Yanga basi kura karibia zote unazo!!

Swali dogo tu;Je ni lini umemsikia Samia akipongeza timu kama Ihefu, Dodoma jiji etc wakipata ushindi kwenye NBCPL??
Jibu ni rahisi hawa hawana positive impact kwake!

1• Samia tunataka kuona unachukua hatua kwa mafisadi yaliopo kwenye report ya CAG.

2• Mkataba wa bandari upitiwe upya pia..
Siyo ujanja ni upuuzi
 
Hizi report za CAG zinatoka kila mwaka, kuna awamu gani imeshawahi kuwa na report safi kabisa?.

Acheni nongwa za kipumbavu watanzania.

Michezo ndio inayafanya mataifa kama Ivory Coast yawe na amani baada ya vita za miaka na miaka.

Michezo kwa maana ya medali za dhahabu na wakimbiaji wa mita mia ndio inauficha umaskini wa jumla wa Jamaica.

Michezo ni heshima ya taifa. Ni nchi yenye kujaa washamba pekee isiyoelewa maana na faida za michezo.

Kuhusu mkataba wa bandari nakushauri tafuta mada nyingine za kuumiza kichwa chako, hilo jambo ndio limeshapita.

Mhhh umasikini wa taifa ufichwe na medali ya dhahabu ya mtu mmoja?
Hii ya leo kali [emoji22]
 
Back
Top Bottom