Ujanja wa Rais Samia kutumia mpira kujizolea kura huku ripoti muhimu ya CAG iliyojaa wala rushwa ipo kapuni

Nyie mtakufa kwa presha.
Mama katulia analiongoza taifa kwenda kwenye dahari ya dhahabu (golden age)
Bila huyu mama mungekua sasa mnaishi kama misukule.
 
Nyie mtakufa kwa presha.
Mama katulia analiongoza taifa kwenda kwenye dahari ya dhahabu (golden age)
Bila huyu mama mungekua sasa mnaishi kama misukule.
Endelea kula keki ya taifa
 
NAKAZIA
 
Nakubaliana na wewe ila hili la kuleta siasa michezoni ni sumu mbaya, itaua hata hiyo michezo yenyewe. Leo uwanja mzima mmesambaza picha za mama yenu! Mwambieni hazitamsaidia kitu, mtaani wananchi hawamuelewi.
 
Watanzania wengi ni maskini na huwa hawafuatili mambo muhimu yanoyohusu kodi zao.
 
Wataabzania wengi ni maskin na huwa hawafuatili mambo mhim yanoyohusu kodi zao ,
Mtu akila mlo mmoja na kupata bando la elfu anapiga makofiπŸ‘πŸ‘
Anasahau kuwa kuna majizi yanachota matrillion serikalini ambayo ndiyo chanzo cha maisha yake mabovu.
 
Naunga mkono hoja
 
Umeongea vzr, na anajidanganya tu, yaani kila mechi ya yanga vs Simba ndo utaona ujinga huu. Wewe sa100 kumbuka kizur kinajiuza kibaya kinajitembeza. Wewe unajitembeza
 
Utaumia sana na bado Samia atakuwasha nchi nzima kwa ajili ya kuibua vipaji.Kunywa sumu kama unaumia saana
 
So? Imekua kosa kushirik furaha dah ufip tuna tabu sana
 
Si Bora na Samia kafungua maelfu ya kesi,wale Wala Rushwa wa awamu ya 5 waliokuwa wanafukuza CAG walirudisha pesa?

Samia apewe maua yake.

View: https://twitter.com/mwigulunchemba1/status/1721412876982694135?t=PajxVnIzKhkgygmGAEL7ug&s=19
 
Maigizo Kwa nani? CAG kaingezewa pesa

CAG kaongezewa Ajira

CAG anakagua Value for money

CAG ameambiwa sema yote

Wezi qanafungwa na kufutwa kazi eg DK Pima wa Arusha CC

Yule mwingine alikuwa anafukuza CAG badala ya Wezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nani anafanya maigizo kati ya hao wawili?

Mwigulu Huwa anapenda kuuliza swali kwamba kama Kuna wezi na maendeleo yanafanyika Kwa Ukubwa huu,wakati hakuna wezi pesa zilikuwa Zinaenda Wapi ilhali Kila kitu kilikuwa kinasua sua?

Genge la Magufuli likiongozwa na Kalemani walikuwa wanajichotea mapesa,Bila Samia wizi huu hapa ungeendelea
 
Huyo anaweza kushitakiwa kwa defamation akiyasema hayo nje ya bunge.

Kama kidume kweli ayaseme hayo akiwa nje ya ubunge.

Hata hapo mbona inatosha sana? Kwani Samia hajasikia tu akahitaji japo kuchukua hatua? Ni ustaarabu kuchunguzwa kwa tuhuma nzito kama hizi.
 
Siyo ujanja ni upuuzi
 

Mhhh umasikini wa taifa ufichwe na medali ya dhahabu ya mtu mmoja?
Hii ya leo kali [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…