Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Umaskini upo dunia nzima na sababu zake zinajulikana na zinazidi kuongezeka kila kukicha.Mhhh umasikini wa taifa ufichwe na medali ya dhahabu ya mtu mmoja?
Hii ya leo kali [emoji22]
Hizi report za CAG zinatoka kila mwaka, kuna awamu gani imeshawahi kuwa na report safi kabisa?.
Acheni nongwa za kipumbavu watanzania.
Michezo ndio inayafanya mataifa kama Ivory Coast yawe na amani baada ya vita za miaka na miaka.
Michezo kwa maana ya medali za dhahabu na wakimbiaji wa mita mia ndio inauficha umaskini wa jumla wa Jamaica.
Michezo ni heshima ya taifa. Ni nchi yenye kujaa washamba pekee isiyoelewa maana na faida za michezo.
Kuhusu mkataba wa bandari nakushauri tafuta mada nyingine za kuumiza kichwa chako, hilo jambo ndio limeshapita.
Kupumbaza ni kwa mujibu wa maana zetu wenyewe. Anatimiza wajibu kila anapotoa milioni tano au kumi kwa timu inayoshinda mechi ya kimataifa. Akiamua kuichunia michezo ni sisi tutakaokuwa wa kwanza kulaumu kwamba serikali inatumia kifisadi pesa zetu huku ikiwa imeisahau michezo.Michezo pia inatumika na Serikali ya ccm kuwapumbaza Watanzania!
Wewe ndo hujui chochote! Kama uko timamu kabisa huwezi kuzarau profile ya mtu kama SAMIA kuwa hajui chochote kuhusu mpira!Frankly speaking Samia hajui chochote kuhusu mpira!