Ujasiri wa JWTZ katika kulinda! Apambana na Chatu

Ujasiri wa JWTZ katika kulinda! Apambana na Chatu

Lakini ukumbuke pia sisi binadamu ndo tunamaliza misitu kiasi cha kua wanyama hawana mahali salama pa kuishi tena ambapo watatoshelezeka na chakula...
Huyo chatu yeye angeenda mbugani kuwinda sio kuwinda vitoweo vya jeshi! Watu wanafuga nguruwe walishe jeshi huyu boya anajifanya anawinda bandani😅😅😅
 
Acheni mapepe nyinyi keyboard warrior next thing mtadai simba akiingia kambini aachwe.

Una hamu ya kuona nyoka nenda zoo au tafuta mmoja umfuge.

Mnajiona mnafikiria kisasa au siyo?
Wapuuzi wanahisi tupo Philadelfia hapa 😅😅😅 hii ni bongo! Huyo chatu ni kwamba alileta utata maana aliona jamaa anamkatili kumuharibia mission yake 😅! Ukimuona kabisa sio chatu wa kawaida huyo mkubwa kama Anaconda!
 
Tunataka ushuhuda wa huyo comando kuua koboko, chatu hata awe na ukubwa wa anaconda bado haipendezi kujichukua ujiko kwasababu sote tunajua ni mzembe

Tunataka action ya koboko
Kaanze wewe ili iwe mfano
 
We wanakugusa masaburi! Jamaa anafanya ulinzi kwenye ranch za nguruwe ghafla akakutana na chatu na yeye yupo lindo! Sasa afanyeje amuachie akameze nguruwe ama ulitakaje
huyo chatu kwanza kuna kila dalili kua ni mzee, mpaka hapa ni wazi kua chatu kafa kwa vingi ukiachana na huo mkuki aliouelezea bwana afande as if anaelezea atomic bomb
 
huyo chatu kwanza kuna kila dalili kua ni mzee, mpaka hapa ni wazi kua chatu kafa kwa vingi ukiachana na huo mkuki aliouelezea bwana afande as if anaelezea atomic bomb
Chatu mzee anapambana?
 
Wapuuzi wanahisi tupo Philadelfia hapa 😅😅😅 hii ni bongo! Huyo chatu ni kwamba alileta utata maana aliona jamaa anamkatili kumuharibia mission yake 😅! Ukimuona kabisa sio chatu wa kawaida huyo mkubwa kama Anaconda!
Yaani watu wanajifanya angehivi au angevile tafuta kashkaji kamoja kati ya hao kamtupie chatu wa futi mbili tu anapoishi umuone.
 
Kaanze wewe ili iwe mfano
Mi kabwela, panya tu sijaweza kuwadhibiti ndani sembuse black mamba?

Hao tumewapa dhamana ya kulinda nchi yetu now wamepapita kwao wamekuja na trend ya show off, target yake ni kwamba aonekane shujaa. Sasa tunataka version ya koboko tuone kama atatoka
 
huyo chatu kwanza kuna kila dalili kua ni mzee, mpaka hapa ni wazi kua chatu kafa kwa vingi ukiachana na huo mkuki aliouelezea bwana afande as if anaelezea atomic bomb
Kama ni mzee it also means ana experience.

Ziwa Victoria na Ruzizi, Tz mpaka Rwanda wote tulihangaishwa na mamba mmoja tu kibabu chenye uzoefu
 
Nilikua napitapita kule YouTube nilipokutana na hii vidio ilio nishtua sana, eti mwanajeshi kaua chatu kwa "mikono yake" miwili (Ingawaje hapo akijieleza anasema alitumia mkuki na pia panga).....

Kilichonishtua ni jinsi vile media ya jeshi ilirukia na kuingia kazini eti kutoa taarifa kana kwamba kitendo kilichofanyika ni cha kusifia au hata cha kuonyeshwa kwa mitandao, Tena kwenye hio video naona hata kamanda wa cheo cha juu ako hapo anaruhusu ahojiwe......

Chatu mkubwa kama vile hafai kuuliwa, unajua amechukua mda gani kua mkubwa kama vile? mnyama kama huyu ni kivutio kikubwa sana cha utalii, anaweza akaleta mapato makubwa sana akiwekwa kwa snake park.. Inakuaje mlinda amani kama huyu ndo anaongoza kwa kumaliza raslimali na kivutio kizuri kama hichi? Tena anachapishwa kwa video eti sifa........ Hizi s zile enzi za 1950's ambapo wanyamapori walikua wengi kuliko binadamu, hata wamasaai waliacha mila za kuua simba eti ndo waonyeshe ujasiri wa kubalehe kwasababu ya kulinda mazingira na kusupport sector ya utalii.


Huyu askari anafaa ashikwe na kushtakiwa, huu ni ushamba wa hali ya juu, kama kazi yake ya kulinda kambi imemboesha, mpelekeni msumbiji kule kabo-delgado akapambane na magaidi .
View attachment 1849529
Kwa hiyo huyo chatu angekamata kruta au mnyama pale zizini ni fresh maana ni kivutio.
Kumbuka huyo askari tayari huyo chatu kaingia 18 za askari ambae yuko kwenye kitengo chake cha kazi.
Laiti huyo chatu angechukua nguruwe huenda huyo askari kibarua kingeota nyasi.
Kijeshi ukiwa kitengo chako cha kazi kama ulinzi hata aje mkuu wa kambi unaruhusiwa kumshurutisha .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mzee it also means ana experience.

Ziwa Victoria na Ruzizi, Tz mpaka Rwanda wote tulihangaishwa na mamba mmoja tu kibabu chenye uzoefu
experience bila power ni pointless
 
Mleta mada ukitaka nyoka wa maonyesho kama huyo nenda bujora kwenye maonyesho ya wasukuma utawakuta huko, kama unaona ni kosa kamshitaki mahakaman maana sheria ni kwa wote sio raia tu hata wanajeshi pia wanashitakiwa!
Sisi tunaamini amefanya jambo jema maana nyoka huyu hafai kuwa karibu na binadam angeweza kudhuru binadam waliokalibu na eneo lile au pengine angumuua huyo askari.
Je ni bora nyoka kauwawa au askari aliepewa mafunzo kwa gharama za wananchi(kodi) il I alinde nchi na mipaka yake afe kwa kuwawa na nyoka?
Hapa najua kama askari angeuwawa na nyoka basi ungefungua uzi hapa ukidai askari hana mafunzo ya kutosha kumkabili adui(nyoka) yule
Mimi sipingi kwamba ni hatari kwa nyoka huyo kua karibu na maeneo ya binadamu. (manake hata mtoto chini ya miaka 15 anawezwa kumezwa mzima mzima na chatu mkubwa kama huyo alieuliwa)

Kama ingekua nyoka huyo alimshambulia huyo askari na katika hali ya kupambana naye, askari akamuua, pia hio ninge support manake ile inaitwa self-defense ambayo inaruhusiwa, yani maisha yako au ya binadamu mwengine yalikua hatarini kwahivyo ulikua unatetea maisha yako ndo uka muua... Hata kwa binadamu hio inaruhusiwa, binadamu mwengine akikushambulia na silaha unaruhusiwa kummaliza na kutetea maisha yako yakiwa hatarini.

Lakini alichofanya huyu mwanajeshi si hivyo, Yeye alimuona nyoka kabla ashambuliwe kwahivyo hakua hatarini, alikua na mda wa kumchezea chezea nyoka kwa kumshika kwa mkia, kwenda kuchukua mkuki, mkuki ulipokua hautoshi akarudi tena na kuchukua panga ili aje ammalize, mda huu wote angeutumia kupigia simu, Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA) waje wachukue kiumbe hichi ambacho hakina haitia yeyote....
 
Kule South Africa kuna jamaa na mkewe huwa wanazunguka kukamata nyoka wanaozurura kwenye makazi ya watu na kuwarudisha porini. Hapa ni issue ya elimu. Askari wengi hao elimu ndogo
 
Back
Top Bottom