Ujasiri wa JWTZ katika kulinda! Apambana na Chatu

Lakini ukumbuke pia sisi binadamu ndo tunamaliza misitu kiasi cha kua wanyama hawana mahali salama pa kuishi tena ambapo watatoshelezeka na chakula...
Huyo chatu yeye angeenda mbugani kuwinda sio kuwinda vitoweo vya jeshi! Watu wanafuga nguruwe walishe jeshi huyu boya anajifanya anawinda bandani😅😅😅
 
Acheni mapepe nyinyi keyboard warrior next thing mtadai simba akiingia kambini aachwe.

Una hamu ya kuona nyoka nenda zoo au tafuta mmoja umfuge.

Mnajiona mnafikiria kisasa au siyo?
Wapuuzi wanahisi tupo Philadelfia hapa 😅😅😅 hii ni bongo! Huyo chatu ni kwamba alileta utata maana aliona jamaa anamkatili kumuharibia mission yake 😅! Ukimuona kabisa sio chatu wa kawaida huyo mkubwa kama Anaconda!
 
Tunataka ushuhuda wa huyo comando kuua koboko, chatu hata awe na ukubwa wa anaconda bado haipendezi kujichukua ujiko kwasababu sote tunajua ni mzembe

Tunataka action ya koboko
Kaanze wewe ili iwe mfano
 
We wanakugusa masaburi! Jamaa anafanya ulinzi kwenye ranch za nguruwe ghafla akakutana na chatu na yeye yupo lindo! Sasa afanyeje amuachie akameze nguruwe ama ulitakaje
huyo chatu kwanza kuna kila dalili kua ni mzee, mpaka hapa ni wazi kua chatu kafa kwa vingi ukiachana na huo mkuki aliouelezea bwana afande as if anaelezea atomic bomb
 
huyo chatu kwanza kuna kila dalili kua ni mzee, mpaka hapa ni wazi kua chatu kafa kwa vingi ukiachana na huo mkuki aliouelezea bwana afande as if anaelezea atomic bomb
Chatu mzee anapambana?
 
Wapuuzi wanahisi tupo Philadelfia hapa 😅😅😅 hii ni bongo! Huyo chatu ni kwamba alileta utata maana aliona jamaa anamkatili kumuharibia mission yake 😅! Ukimuona kabisa sio chatu wa kawaida huyo mkubwa kama Anaconda!
Yaani watu wanajifanya angehivi au angevile tafuta kashkaji kamoja kati ya hao kamtupie chatu wa futi mbili tu anapoishi umuone.
 
Kaanze wewe ili iwe mfano
Mi kabwela, panya tu sijaweza kuwadhibiti ndani sembuse black mamba?

Hao tumewapa dhamana ya kulinda nchi yetu now wamepapita kwao wamekuja na trend ya show off, target yake ni kwamba aonekane shujaa. Sasa tunataka version ya koboko tuone kama atatoka
 
huyo chatu kwanza kuna kila dalili kua ni mzee, mpaka hapa ni wazi kua chatu kafa kwa vingi ukiachana na huo mkuki aliouelezea bwana afande as if anaelezea atomic bomb
Kama ni mzee it also means ana experience.

Ziwa Victoria na Ruzizi, Tz mpaka Rwanda wote tulihangaishwa na mamba mmoja tu kibabu chenye uzoefu
 
Kwa hiyo huyo chatu angekamata kruta au mnyama pale zizini ni fresh maana ni kivutio.
Kumbuka huyo askari tayari huyo chatu kaingia 18 za askari ambae yuko kwenye kitengo chake cha kazi.
Laiti huyo chatu angechukua nguruwe huenda huyo askari kibarua kingeota nyasi.
Kijeshi ukiwa kitengo chako cha kazi kama ulinzi hata aje mkuu wa kambi unaruhusiwa kumshurutisha .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mzee it also means ana experience.

Ziwa Victoria na Ruzizi, Tz mpaka Rwanda wote tulihangaishwa na mamba mmoja tu kibabu chenye uzoefu
experience bila power ni pointless
 
Mimi sipingi kwamba ni hatari kwa nyoka huyo kua karibu na maeneo ya binadamu. (manake hata mtoto chini ya miaka 15 anawezwa kumezwa mzima mzima na chatu mkubwa kama huyo alieuliwa)

Kama ingekua nyoka huyo alimshambulia huyo askari na katika hali ya kupambana naye, askari akamuua, pia hio ninge support manake ile inaitwa self-defense ambayo inaruhusiwa, yani maisha yako au ya binadamu mwengine yalikua hatarini kwahivyo ulikua unatetea maisha yako ndo uka muua... Hata kwa binadamu hio inaruhusiwa, binadamu mwengine akikushambulia na silaha unaruhusiwa kummaliza na kutetea maisha yako yakiwa hatarini.

Lakini alichofanya huyu mwanajeshi si hivyo, Yeye alimuona nyoka kabla ashambuliwe kwahivyo hakua hatarini, alikua na mda wa kumchezea chezea nyoka kwa kumshika kwa mkia, kwenda kuchukua mkuki, mkuki ulipokua hautoshi akarudi tena na kuchukua panga ili aje ammalize, mda huu wote angeutumia kupigia simu, Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA) waje wachukue kiumbe hichi ambacho hakina haitia yeyote....
 
Kule South Africa kuna jamaa na mkewe huwa wanazunguka kukamata nyoka wanaozurura kwenye makazi ya watu na kuwarudisha porini. Hapa ni issue ya elimu. Askari wengi hao elimu ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…