Ujasiri wa JWTZ katika kulinda! Apambana na Chatu

Apigie simu TAWA (Tanzania Wildlife Management Authority) Waje wamchukue chatu huyo, hivyo ndo sisi tumeelezwa kufanya, ukiona nyoka mkubwa usimuue, pigia simu kwa KWS au snake park waje wamchukue.
Kuna kitu hamjui. Kambi ya jeshi sio chooni kila mtu anaingia. Kama ikitokea vurugu tu ma brigadier hawana mamlaka ya kupeleka wanajeshi eneo husika bila kibali cha CDF, sasa unadhani ni rahisi askari wa (foresti) kuingia eneo la jeshi ?
 
na kamera ya kurekodia kabisa
Hata polisi kuna camera, kuna jamaa alikuwa ni askari polisi na kazi yake ilikuwa ni uandishi wa habari za jeshi la polisi. Hii ilikua miaka ya 2004
 
Uzuri ni kuwa wanyma wana maeno yao ya kuishi na kujidai ,vile vile binadamu ana maeneo yake ya kuishi na kujidai, mwanajeshi hakumuua chatu kwa sababu kavamia maeneo ya wanyama, ila alimuua chatu kwa sababu chatu kaingia maeneo ya watu, ni haki ya mnyama kuishi lakini si haki ya mnyama kuhatarisha maisha ya binadamu.
 
Kumbuka askari nae anataka cheo ati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu,,, naomba unifahamishe jinsia yako tafadhali, kisha uniambie unatokea dar au mkoani.
kuna utafiti flani najaribu kufanya hapa.
Ukiwa serious sana huwez nielewa mkuu.

Mimi nina mashine na kende mbili..zinafanya kazi kisawasawa
 
Chatu anajua binadamu sio 👍👍👍
 
Kwa tiliopitia hiyo kambi ya ruvu 832kj chatu wanafugwa na wale jamaa wa ngoma coy na mara nyingi chatu wao huwa hawanawatoroka. Asee kuwapata huwa ni inshu sana maana chatu hadi kutoroka huwa linakuwa kali kinoma. So far mashamba ya nanasi hapo jirani mlandizi kuna michatu mingi sana.
Katika kodoji kwangu nilikuwa nayaona mengi hasa kule kwenye shamba la mpunga
 
Huyu soldier hakutakiwa kumuua huyu chatu,kama angekuwa jasiri ,angemdhibiti akiwa hai,na kama angeweza kumkabidhi kwa marihasiri.ingekuwa heshima kubwa,hii kuua sio ujasiri,wamasai wanaua Simba kila siku,
Huu ni upuuzi,hii inaonyesha jinsi jeshi letu linavyothamini vitu vidogo sana,hii haikuwa tukio la kutafutia kiki.
Karne ya 21,unajjsifia kuua chatu,mi ningefurahi kusikia Kuna mjeshi amefanya renovation kwenye AK 47 mpaka ikaweza kukooa risasi mia kwa sekunde,sio kwenda kuua machatu,
Kuna mjeshi alikimbia kule Mtwara akaacha kifaru magaidi walivyofika.
 
Hana madhara wakati yupo jirani na banda la nguruwe 😅😅😅 au unahisi alienda maeneo hayo kupiga picha?
Watu wanamuonea huruma huyo chatu, vipi mjeda wetu angekwenda na maji si wangeanza kusema tena... Ooh mjeda gani hawezi kufight na chatu mara uzembe mara.....

Napendekeza HUYO CHATU APIGWE SUPU.
 
Watu wanamuonea huruma huyo chatu, vipi mjeda wetu angekwenda na maji si wangeanza kusema tena... Ooh mjeda gani hawezi kufight na chatu mara uzembe mara.....

Napendekeza HUYO CHATU APIGWE SUPU.
Hahahah wampike tu aliwe naskia ni mtamu sana kama samaki
 
Kuna kitu hamjui. Kambi ya jeshi sio chooni kila mtu anaingia. Kama ikitokea vurugu tu ma brigadier hawana mamlaka ya kupeleka wanajeshi eneo husika bila kibali cha CDF, sasa unadhani ni rahisi askari wa (foresti) kuingia eneo la jeshi ?
Acha hizo wewe kwani wasiingie? Si taratibu zinafuatwa? Mbona wanavamiwaga na majambazi wanawaita polisi?
 
Jwtz wamejizalilisha siwangewaita watu wa maliasili wamu rescue ili asije leta madhara. In short wamejizalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…