Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
-
- #61
.... bilioni 325.3 zimepatikana kati ya April- Sept 2024.....Hebu nionyeshe ilipotoa hata Trilioni 5 tu Mwaka jana,hivi vichwani kwenu kuna akili Au takataka?
Wangemtoa tu macho yenyewe, maana hayana msaada nae.Nakushauri uende pale CCBRT utolewe tongotongo machoni, kwa maana macho unayo lkn huoni
Serikali ya Norway imeanza kutoa misaada kwa serikali ya Tanzania katikati mwa miaka ya 1960..... kipindi hicho kulikuwa na DEMOKRASIA gani ya vyama vingi ?!!Wanaowapa msaada kigezo chao kikuu ni kutekeleza demokrasia ya kweli. Sasa kutekeleza demokrasia hamtaki, ila mnataka misaada yao mpewe!
.... Mwenyezi Mungu aendelee kunilindia macho aliyonipa ili niendelee kuiona Tanzania chini ya CCM milele dumu aaamin aaamin !!Wangemtoa tu macho yenyewe, maana hayana msaada nae.
CHAWA pro maxAmerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.
Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.
Hivi unawaelewa hawa ?!!
Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha
#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
wewe umeona wapi hao wahuni wakitoa trilioni 22???DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka
....njoo Pangani hapa eneo la Funguni ushuhudie nyomi ya wananchi katika mkutano huu wa ziara ya mh.Rais Samia...hapa ni mabarabara na maendeleo kibwena tu....CHAWA pro max
Aprili - Septemba 2024....bilioni 325.3.....wewe umeona wapi hao wahuni wakitoa trilioni 22???
Labda hii ndio mada husika sio TL?. Trillion 22 howIvi kumbe DP World wanatoa trilioni 22 kwa mwaka? Mbona ni hela nyingi sana?
Tupate kujuawalipoziba ili Tanga na Mtwara pawe sawaAprili - Septemba 2024....bilioni 325.3.....
Hazikuwa zinaonekana huko nyuma....
Usiwe mjinga ndugu yangu....
Huyu TL ni pimbi tu hataweza kufanikisha chochote. Alisema tutashtakiwa MAGA, mpaka leo tunadunda kama kawaida.Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.
Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.
Hivi unawaelewa hawa ?!!
Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha
#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
Ha ha ha ha ndugu yetu TL anawadanganya wajinga na sio werevu akina Steven Joel....Huyu TL ni pimbi tu hataweza kufanikisha chochote. Alisema tutashtakiwa MAGA, mpaka leo tunadunda kama kawaida.
Mwenyezi akubariki sana siku yako ya leo upate fedha kimiujiza ,aaaaamin !!Naunga hoja
Lissu na wanorway ni wajomba tangu lini?Soma tena "between lines" ...
Ni kweli tuko milioni 63 na kweli tunahitaji trilioni 22 za DP WORLD kila "fiscal year" ili akina Tundu Lissu wasiende "kutusemea kwa wajomba zao"....
Wengi ya wananchi hao wamebebwa na malori ya mchanga kutoka sehemu mbali mbali ili waonekane watu wamejaa, tunajua hujuma zenu na Hila zenu enyi CCM....njoo Pangani hapa eneo la Funguni ushuhudie nyomi ya wananchi katika mkutano huu wa ziara ya mh.Rais Samia...hapa ni mabarabara na maendeleo kibwena tu....
#Mama Asemewe !!
ujinga uko wapi? nimekuuliza swali wewe mjinga.Aprili - Septemba 2024....bilioni 325.3.....
Hazikuwa zinaonekana huko nyuma....
Usiwe mjinga ndugu yangu....
Nchi hazihitaji marais maprofesa....haiko kwa Marekani iwe kwa Tanzania ?!!Lissu na wanorway ni wajomba tangu lini?
Hujui aliye na wajomba Oman?
Kwa rasilimali ilizonazo nchi kama Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo upstairs kwa sasa hawapo na wenye uwezo nao wamegeuka machawa ni aibu kusaidiwa na nchi yenye watu milioni 5 au 10 na hazina rasilimali kama Tanzania.
View attachment 3250299
Unakataa udugu wa kiafrika ?ujinga uko wapi? nimekuuliza swali wewe mjinga.
Pili hakuna undugu wowote kwako na kwangu
tatu 325.3b zimelipwa wapi? na 325.3b ndio trilioni 22?