Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

Wanaowapa msaada kigezo chao kikuu ni kutekeleza demokrasia ya kweli. Sasa kutekeleza demokrasia hamtaki, ila mnataka misaada yao mpewe!
Serikali ya Norway imeanza kutoa misaada kwa serikali ya Tanzania katikati mwa miaka ya 1960..... kipindi hicho kulikuwa na DEMOKRASIA gani ya vyama vingi ?!!
 
Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.

Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.

Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.

Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.

Hivi unawaelewa hawa ?!!

Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha

#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
CHAWA pro max
 
Huyu TL ni pimbi tu hataweza kufanikisha chochote. Alisema tutashtakiwa MAGA, mpaka leo tunadunda kama kawaida.
 
Soma tena "between lines" ...
Ni kweli tuko milioni 63 na kweli tunahitaji trilioni 22 za DP WORLD kila "fiscal year" ili akina Tundu Lissu wasiende "kutusemea kwa wajomba zao"....
Lissu na wanorway ni wajomba tangu lini?

Hujui aliye na wajomba Oman?

Kwa rasilimali ilizonazo nchi kama Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo upstairs kwa sasa hawapo na wenye uwezo nao wamegeuka machawa ni aibu kusaidiwa na nchi yenye watu milioni 5 au 10 na hazina rasilimali kama Tanzania.
Screenshot_20220614_173349 (1).jpg
 
....njoo Pangani hapa eneo la Funguni ushuhudie nyomi ya wananchi katika mkutano huu wa ziara ya mh.Rais Samia...hapa ni mabarabara na maendeleo kibwena tu....

#Mama Asemewe !!
Wengi ya wananchi hao wamebebwa na malori ya mchanga kutoka sehemu mbali mbali ili waonekane watu wamejaa, tunajua hujuma zenu na Hila zenu enyi CCM
 
Aprili - Septemba 2024....bilioni 325.3.....

Hazikuwa zinaonekana huko nyuma....

Usiwe mjinga ndugu yangu....
ujinga uko wapi? nimekuuliza swali wewe mjinga.
Pili hakuna undugu wowote kwako na kwangu
tatu 325.3b zimelipwa wapi? na 325.3b ndio trilioni 22?
 
Watu wanapinga harakati za Chadema halafu hata hawasemi umuhimu wa kubaki na mfumo wa Uchaguzi uliopo kwa watanzania

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Lissu na wanorway ni wajomba tangu lini?

Hujui aliye na wajomba Oman?

Kwa rasilimali ilizonazo nchi kama Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo upstairs kwa sasa hawapo na wenye uwezo nao wamegeuka machawa ni aibu kusaidiwa na nchi yenye watu milioni 5 au 10 na hazina rasilimali kama Tanzania.
View attachment 3250299
Nchi hazihitaji marais maprofesa....haiko kwa Marekani iwe kwa Tanzania ?!!

Wafanya vetting wako smart kuliko hizo fikra zako....walimuidhinisha Rais Samia atuongoze.....

FYI Wafanya vetting ya urais hawakuona tatizo kwa mh.Rais Samia kuwa na WAJOMBA huko Oman.......

Nchi haziongozwi kwa hisia hizo ulizonazo....usiwe "fragile" sana na "emotions" Koko....

Tanzania iko imara kwa sababu ina wafanya vetting imara kuliko hizo tuhuma zako zisizo na uhalisia.....

#JMT milele
 
ujinga uko wapi? nimekuuliza swali wewe mjinga.
Pili hakuna undugu wowote kwako na kwangu
tatu 325.3b zimelipwa wapi? na 325.3b ndio trilioni 22?
Unakataa udugu wa kiafrika ?
Unaukataa udugu wa kitanzania ?!!

Wewe mkenya mambo ya watanzania yanakuhusu nini ?!!

DP WORLD ndio wameanza kuwekeza....unataka hizo trilioni 22 zipatikane mwaka wa kwanza wa uwekezaji ?!!
Hilo liko huko kwenu sayari ya Mara ?!!
Nimekupa figures za kutoka April-Sept kuwa ni bilioni 325.3 bado unapinga....huna uhalisia bali umejawa na HISIA koko tu....

#JMT milele dumu !
 
Back
Top Bottom