Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

"Tanzania iko imara sababu ina wafanya vetting imara kuliko hizo tuhuma zisizo na uhalisia." Hivi ulimsikiliza CDF alichokisema?

With all kind of the resources alizonazo CDF unafikiri aliongea tu kujifurahisha??

Hao wafanya vetting walikuwa wapi hadi CDF kaja kushtukia mchezo dakika za mwisho, na hujiulizi kwanini hakuliongelea hilo kwenye baraza la usalama wa taifa sababu yeye ni mjumbe hadi aje aliongelee public?

Ndio hivi kabisa?? SMH !!!!
 
Yaani CCM sijui Wana akili gani ....wanavyoongea utadhani ndio wameingia madarakani jana... Wakati wapo toka uhuru .. pathetic....
 
Shida ya kuandika huku umekalia mjulubenge.
 
Tatizo nchi hii ni ulaji. Mikataba ya hiyo miradi sijui Bandari na makorokoro yake iko wazi ? Usiri wa mikataba unaibua hoja ya uporaji na wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…