Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tanzania iko imara sababu ina wafanya vetting imara kuliko hizo tuhuma zisizo na uhalisia." Hivi ulimsikiliza CDF alichokisema?Nchi hazihitaji marais maprofesa....haiko kwa Marekani iwe kwa Tanzania ?!!
Wafanya vetting wako smart kuliko hizo fikra zako....walimuidhinisha Rais Samia atuongoze.....
FYI Wafanya vetting ya urais hawakuona tatizo kwa mh.Rais Samia kuwa na WAJOMBA huko Oman.......
Nchi haziongozwi kwa hisia hizo ulizonazo....usiwe "fragile" sana na "emotions" Koko....
Tanzania iko imara kwa sababu ina wafanya vetting imara kuliko hizo tuhuma zako zisizo na uhalisia.....
#JMT milele
Shida ya kuandika huku umekalia mjulubenge.Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.
Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.
Hivi unawaelewa hawa ?!!
Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha
#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
Tatizo nchi hii ni ulaji. Mikataba ya hiyo miradi sijui Bandari na makorokoro yake iko wazi ? Usiri wa mikataba unaibua hoja ya uporaji na wizi.Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.