lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Hayo yote rais anajua ndo maana akaja na conclusion hiyo.Hatuwezi ithamanisha hiyo nyumba bila kujua imechimbwa msingi kwenda chini futi ngapi,
Foundation imetumia material yapi, pia tiles hapo ndani katumia zipi, na milango ya hapo ndani ikoje, ratio ya kiserikali inajulikana ni ya ukweli,
Ukikuta ni ujenzi wa serikali ninavyoujua million 120 zinakata.
Na kutokana na material katumia yapi
Huenda walifwatua tofali inchi 6 na ratio ikawa ni tofali 20 kwa mfuko.
Local fundi analipwa kwa bei za soko kama unazoweza kumlipa wewe na mimi na sio kampuni. Sasa kama walitumia kampuni ndio matokeo yake mh. Rais analalamika.Force account, kwani anajenga mkuu wa takukuru na wafanyakazi wake?si wameajiri local fundi (kampuni) unadhani faida wanapata vipi?
Siyo mkurupukaji wala nini pale, sema kagusa maslahi ya watu, lakini ukweli kausema!Rais huwa mkurupukaji sana, gharama ya nyumba inategemea na mahitaji.
Nd'o tukaweka hiyo 70m.labda ndani ila nje io nyumba ni 60m
kingine ni bei ya vitu (kiserikaliserikali)
Ikiwa ni hivyo majengo ya hospitali za wilaya zilizotengewa bilioni 1 zingekuwa na majengo siyo chini ya 20 kila moja, hilo jengo kwa kazi za serikali ndio gharama yake...Local fundi analipwa kwa bei za soko kama unazoweza kumlipa wewe na mimi na sio kampuni. Sasa kama walitumia kampuni ndio matokeo yake mh. Rais analalamika.
Tungelikuwa hatujajenga, tusiolewa finishing ya vifaa vya ujenzi vya kisasa tungelikubaliana na wewe.Kama kuna finishing touches nzuri huko ndani, na structure ilijengwa kwa viwango stahiki, no way hiyo nyumba ni less than 100m.. mnaosema milioni sijui 60, 70 mnaongelea very low qualoty houses...
Majengo ya hospital za wilaya ni makubwa zaidi ya hilo nenda wanapojenda na uliza gharama zake then fananisha na jengo la TAKUKURU.Ikiwa ni hivyo majengo ya hospitali za wilaya zilizotengewa bilioni 1 zingekuwa na majengo siyo chini ya 20 kila moja, hilo jengo kwa kazi za serikali ndio gharama yake...
Karibuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43.
Kwa mtazamo wangu, licha ya kutoiona nyumba hii kwa ndani huwezi jenga chini ya million 90 na kama gharama za vifaa, mchanga na cement eneo husika zipo juu kufika mill 100 sioni ajabu kwa upande wangu.
Karibuni mafundi kwa majadiliano. View attachment 1514090
Mheshimiwa Raisi yupo sahihi kabisa, kwa milioni 40 with effective supervision unajenga kama hiyo
Tufanye tunakubaliana na wewe, embu jaribu kutupigia 'rafu' tuone.Hatuwezi ithamanisha hiyo nyumba bila kujua imechimbwa msingi kwenda chini futi ngapi,
Foundation imetumia material yapi, pia tiles hapo ndani katumia zipi, na milango ya hapo ndani ikoje, ratio ya kiserikali inajulikana ni ya ukweli,
Ukikuta ni ujenzi wa serikali ninavyoujua million 120 zinakata.
Na kutokana na material katumia yapi
Huenda walifwatua tofali inchi 6 na ratio ikawa ni tofali 20 kwa mfuko.
Hii najenga LA milion 40Karibuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43.
Kwa mtazamo wangu, licha ya kutoiona nyumba hii kwa ndani huwezi jenga chini ya million 90 na kama gharama za vifaa, mchanga na cement eneo husika zipo juu kufika mill 100 sioni ajabu kwa upande wangu.
Karibuni mafundi kwa majadiliano. View attachment 1514090
Aliyelalamika kua hapo kuna upigaji hayuko serikalini?,hayajui haya?,kumbuka amekaa wizara ya ujenzi zaidi ya miaka 10 so maswala ya ujenzi na thamani zake anazijua sanaUnapozungumzia mali za serikali sio kama zetu mtaani,kwanza serikalini awaruhusu kujengea kitu kisicho kipya,watu wa manunuzi wanaelewa.
Pili,kuna bei elekezi za ununuaji vitu hasa kama wametumia mfumo wa tender,Mfano kalamu unayonunua wewe 300 bei ya kimanunuzi kwa serikalini unaweza kuta ni 500,hata ikishuka au ikipanda kama tayari upo kwenye mkataba wao watanunua kwa bei hiyo hiyo.
Note:sidhani kama nimeelezea vizuri ila nadhani utapata nilichokuwa nafikiria.
Shida ujenzi wa miradi ya serikali unapitia mikononi ya wadau wengi. Utasikia injinia mshauri,mara project designer n.k na pia maelekezo ya kutaka ujenzi kuzingatia viwango maalum.Mfano mfuko wa simenti 1:20 tofali wakati nyumba binafsi ni 1:40. Vivyo hivyo kwenye bati n.k Matokeo yake kitu kidogo au nyumba ndogo thamani yake inakuwa kubwa. Hivyo binafsi sishangai hiyo thamani ni reasonable kabsa.Ukinipa M 143 nakuletea nyumba kama hiyo mbili na vimilioni vichache vinabaki.
Hii style ya paa la nyumba The Late DAB alipiga marufuku..any way apaumzike amani..hi nyumba nipe mimi 30M nakujengea na chenji inabaki..kuna mtu kapigwa apoKaribuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43.
Kwa mtazamo wangu, licha ya kutoiona nyumba hii kwa ndani huwezi jenga chini ya million 90 na kama gharama za vifaa, mchanga na cement eneo husika zipo juu kufika mill 100 sioni ajabu kwa upande wangu.
Karibuni mafundi kwa majadiliano. View attachment 1514090
Kinachoniskitisha TZ kwani upigaji mwingi ni hadi JPM mwenyewe augundue watendaji wale wengine hawaoni?what is behind this?Karibuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43.