Kama nyumba ya kuishi..residential house and not an office! Ila haiwezi kujengwa kwa 40,000,000 au 60,000,000 kma walivyosema PM na Rais. Likewise, 145,000,000 ni nyingi !Karibuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43.
Kwa mtazamo wangu, licha ya kutoiona nyumba hii kwa ndani huwezi jenga chini ya million 90 na kama gharama za vifaa, mchanga na cement eneo husika zipo juu kufika mill 100 sioni ajabu kwa upande wangu.
Karibuni mafundi kwa majadiliano. View attachment 1514090