Ujenzi: Nimefanya uchunguzi kwanini watu wengi wanashindwa au kuchelewa kuwa na kwao

Ujenzi: Nimefanya uchunguzi kwanini watu wengi wanashindwa au kuchelewa kuwa na kwao

Hio 30m ambayo mtu kaamua kujenga alipewa au aliokota kiasi kwamba akimaliza ujenzi tu anakuwa hana hata uwezo wa kulisha familia?!
Vyovyote vile alipewa,ameshinda biko,kiinua mgongo, zari lala kuuza ardhi ya urithi.Luna mambo mengi tu watu wanapata hela ya zari au mkopo.Ukisha pata mkopo huupati tens mpaka muda mrefu upite.Kiinua mgongo hupati Mara mbili.Unauliza swami kama vile China uzoefu na pesa
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Six years Mzee working [emoji1008] in progress... Nyumba mchezo finishing ni kiboko boss,

Hongera mkuu, ila ni raha sana ukienda mdogo mdogo kwenye finishing maana unatoa kitu sio cha kitoto,
Kwangu mimi hatua ngumu ni kuezeka na madirisha ..process zingine za finishing haziumizi kihivyo maana unaweza fanya mdogo mdogo ukiwa ndani
 
Vyovyote vile alipewa,ameshinda biko,kiinua mgongo, zari lala kuuza ardhi ya urithi.Luna mambo mengi tu watu wanapata hela ya zari au mkopo.Ukisha pata mkopo huupati tens mpaka muda mrefu upite.Kiinua mgongo hupati Mara mbili.Unauliza swami kama vile China uzoefu na pesa
Pia unaweza kufikiri hivi...
Mtu mmoja kapata 30m kajenga na ana uhakika pa kulala, mwingine kapata 30m kawekeza biashara ikabuma sasa hana pa kulala na hana biashara.

Don't take it personal. Uwe na uzoefu usiwe nao haukufanyi uone kuna njia moja tu kwenye maisha. Kupanga ni kuchagua. Wewe fanya biashara acha wengine wajenge huo ndio uwekezaji wao.
 
Kwangu mimi hatua ngumu ni kuezeka na madirisha ..process zingine za finishing haziumizi kihivyo maana unaweza fanya mdogo mdogo ukiwa ndani
Materials na ufundi >Tiles, wiringi, plumbing, skimming, madirisha na kufunga gypsum bodi plus mikanda yake....haya ni maeneo yanatafuna sana pesa kwenye finishing
 
Nimesoma comments zote, kwa kweli kujenga inawezekana kabisa. Anza na ulichonacho utashangaa umemaliza pagale kimzaha mzaha. Ujenzi wa nyumba uko kwenye finishing japo kama walivyoshauri wadau unahamia halafu unamalizia taratibu. Binafsi nashukuru Mungu niliweka nia ya kujenga February 2019 nikafanikiwa kuhamia May 2020. Bado mpambano wa finishing unaendelea. Yani unaenda kununua vikorokoro hata mfuko wa jero haujai ila unashangaa 1m imekata.
Hakika kujenga inawezekana, weka nia, punguza matumizi yasoyo ya lazima.
 
Pia unaweza kufikiri hivi...
Mtu mmoja kapata 30m kajenga na ana uhakika pa kulala, mwingine kapata 30m kawekeza biashara ikabuma sasa hana pa kulala na hana biashara.

Don't take it personal. Uwe na uzoefu usiwe nao haukufanyi uone kuna njia moja tu kwenye maisha. Kupanga ni kuchagua. Wewe fanya biashara acha wengine wajenge huo ndio uwekezaji wao.
Umempa jibu zuri sana, kila mtu ana mapendekezo yake katika uwekezaji maana hatuwezi fanana vipaumbele, ila fainali uzeeni inshalaa Mungu akitupa uhai
 
Materials na ufundi >Tiles, wiringi, plumbing, skimming, madirisha na kufunga gypsum bodi plus mikanda yake....haya ni maeneo yanatafuna sana pesa kwenye finishing
Jinsi ya kupunguza gharama za gypsum board.
Piga hesabu unahitaji boards ngapi. Mfano unahitaji 50pcs. Nunua 20pcs kwanza. Mwambie fundi aweke nzima nzima,yaani aweke sehemu zinazoingia nzima nzima nyumba nzima. Zile sehemu zinazohitaji vipande aziache kwanza.
Utashangaa nzima zinaingia 20 au pungufu.
Zile sehemu zinazohitaji vipande nenda hardware ongea nao wakuuzie damaged boards(hizi huwa zinakuwa zimemeguka kidogo wakati wa kumshusha mzigo hawawezi kuuza kwa wateja wa kawaida) hizo utauziwa moja 5000-7000. Unanunua kama 30pcs ndio unaenda kuweka sehemu zinazohitaji vipande.
Hesabu iko hivi
Boards nzima 50 ni 50*14,000=700,000
Kwa njia hii nilioshauri
Board nzima 20 ni 20*14,000=280,000
Damaged board 30*6000=180,000
Total 460,000
700,000-460,000=240,000
Umeokoa 240,000.
 
Materials na ufundi >Tiles, wiringi, plumbing, skimming, madirisha na kufunga gypsum bodi plus mikanda yake....haya ni maeneo yanatafuna sana pesa kwenye finishing
Hivi ni vitu vya bei ndogo naweza fanya chumba kimoja kimoja hadi namaliza bila kujiumiza ndio maana wengi wanahamia punde baada ya kuezeka tena bila madirisha wanaweka makaratasi..nitaleta experience yangu by the year end niko kwenye huo mchakato wa ujenzi
 
Kujenga kusikieni tu
Ni shughuli pevu kwakweli
Hasa unapofikia ktk kupaua...kupau kunahitaji fedha sana...kupaua hakuna kulaza ukichokoza ndo mpka umalize tofauti na kupandisha boma unaweza kujenga koz 5 ukaacha kwanza...kupaua lazma mbao ziwepo za kutosha,bati za kutosha,misumali,na fedha ya fundi muda huohuo...
Kwakweli mwenye nyumba aheshimiwe!!!
Hapa kichwa kinakokotoa hesabu namna ya kupata bajet ya kuuzeka majengo wangu..moja haikai mbili haikai
20190713_125256.jpg
 
Jinsi ya kupunguza gharama za gypsum board.
Piga hesabu unahitaji boards ngapi. Mfano unahitaji 50pcs. Nunua 20pcs kwanza. Mwambie fundi aweke nzima nzima,yaani aweke sehemu zinazoingia nzima nzima nyumba nzima. Zile sehemu zinazohitaji vipande aziache kwanza.
Utashangaa nzima zinaingia 20 au pungufu.
Zile sehemu zinazohitaji vipande nenda hardware ongea nao wakuuzie damaged boards(hizi huwa zinakuwa zimemeguka kidogo wakati wa kumshusha mzigo hawawezi kuuza kwa wateja wa kawaida) hizo utauziwa moja 5000-7000. Unanunua kama 30pcs ndio unaenda kuweka sehemu zinazohitaji vipande.
Hesabu iko hivi
Boards nzima 50 ni 50*14,000=700,000
Kwa njia hii nilioshauri
Board nzima 20 ni 20*14,000=280,000
Damaged board 30*6000=180,000
Total 460,000
700,000-460,000=240,000
Umeokoa 240,000.
sio hayo tu ila mjini mipango..kwenye ujenzi mkubwa kuna materials kibao yanabaki wanawauzia watu wa hardware kwa bei ya chini sana kwa hiyo ukitega hilo chimbo vyote hivyo unapata.Changamoto huwa ni bati na tofari tu lakini the rest unaweza pata kwa bei ya chini ya soko..Hizi ni mbinu za kutumia kwa wenye vipato vya kuunga unga
 
Kujenga kusikieni tu
Ni shughuli pevu kwakweli
Hasa unapofikia ktk kupaua...kupau kunahitaji fedha sana...kupaua hakuna kulaza ukichokoza ndo mpka umalize tofauti na kupandisha boma unaweza kujenga koz 5 ukaacha kwanza...kupaua lazma mbao ziwepo za kutosha,bati za kutosha,misumali,na fedha ya fundi muda huohuo...
Kwakweli mwenye nyumba aheshimiwe!!!
Hapa kichwa kinakokotoa hesabu namna ya kupata bajet ya kuuzeka majengo wangu..moja haikai mbili haikaiView attachment 1504003
Boss unajisikiaje hapo ukiangalia juhudi zako?
 
Ila mi binafsi sipendi tu nyumba kubwa, labda nikiwa na familia mawazo yatabadilika
Why? Standard kabsa nyumba inatakiwa kuwa ya vyumba vinne. Chako,Cha boys( kitanda bouble decker) na girls( kitanda double decker) nacha wageni( Mimi ninae baba yangu namuuguza nyumbani kwangu leo mwaka wa pili) Nina watoto wanne binti wa kwanza yupo form two shule ya bweni,wanafata mapacha wa kike na kiume wako darasa la tatu Wana miaka tisa anafuata kitinda mimba wa kike ana miaka miwili na nusu. Kijana wa kiume ana chumba chake( kitanda double decker)pacha wake wa kike ana share chumba na mfanyakazi pamoja na shangazi yangu( kitanda double decker na single kitanda kimoja) ambaye kazi yake ni kushugulika na kumtunza baba yangu basiii( chakula,kumfulia) alifiwa mme na ni mtu mzima kiasi. NIKO COMFORTABLE NA FAMILIA....nikipata mgeni wa kiume anaenda kulala na kijana wangu wa kiume nikipata mgeni wa kike anaenda chumba cha wasichana. Baba yangu analala peke yake mpaka watoto wanakiita chumba cha babu...nilifiwa na mama yangu mzazi Oct 2015. SIJAWAHI KUTEMBELEWA NA MGENI AKAJA NA MKEWE AU MMEWE. Na sijui wakija nitawalazaje.
 
Mpe mbongo bilioni 10 atajenga mijumba akitegemea kurejesha mapesa yake baada ya miaka 10 hadi 20.

Mpe msomali bilioni 10 atafungua maduka makubwa, ata import na kukuza biashara zake kwa eneo husika.

Mpe Muhindi bilioni 10 ataanzisha kiwanda kitakua kikubwa na atapiga pesa kwa muda mrefu.

Ujumbe tusifikirie kujenga sana tuache dhana ya uoga 😂😂😂😂😂
Mkuu usemayo ni kweli kabisa lakini kuna wakati kujenga nyumba ni fallback plan kama mambo yakigoma unarudi kujisitiri kwako huku unapigania mlo, mavazi, na afya huku ukiwa umeondoa shida ya makazi kwenye equation (mlinganyo) wa mahitaji yako muhimu ya kimaisha.
 
Jinsi ya kupunguza gharama za gypsum board.
Piga hesabu unahitaji boards ngapi. Mfano unahitaji 50pcs. Nunua 20pcs kwanza. Mwambie fundi aweke nzima nzima,yaani aweke sehemu zinazoingia nzima nzima nyumba nzima. Zile sehemu zinazohitaji vipande aziache kwanza.
Utashangaa nzima zinaingia 20 au pungufu.
Zile sehemu zinazohitaji vipande nenda hardware ongea nao wakuuzie damaged boards(hizi huwa zinakuwa zimemeguka kidogo wakati wa kumshusha mzigo hawawezi kuuza kwa wateja wa kawaida) hizo utauziwa moja 5000-7000. Unanunua kama 30pcs ndio unaenda kuweka sehemu zinazohitaji vipande.
Hesabu iko hivi
Boards nzima 50 ni 50*14,000=700,000
Kwa njia hii nilioshauri
Board nzima 20 ni 20*14,000=280,000
Damaged board 30*6000=180,000
Total 460,000
700,000-460,000=240,000
Umeokoa 240,000.
Hii ya kibabe sana mkuu nmekubali.
 
Vipi wataka kuniuzia boma lako...njoo pm tuyajenge ...ila usije ukalilaghai na papuchi yako maana unaonekana mrembo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una maneno mengi sana mdomoni, mi nimeuliza swali dogo tu...ila majibu jaji wewe, hakimu wewe, wakili wewe!

Utakuwa ni muongo sana afu njaa kali mkuu[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom