Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
Kama una watoto wadogo nakushauri madirisha weka kabisa aisehh baridi na upepo utapeleka watoto hospitali kila sikuHivi ni vitu vya bei ndogo naweza fanya chumba kimoja kimoja hadi namaliza bila kujiumiza ndio maana wengi wanahamia punde baada ya kuezeka tena bila madirisha wanaweka makaratasi..nitaleta experience yangu by the year end niko kwenye huo mchakato wa ujenzi