Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Swali zuri sana[emoji1690]Ila umepanga kwa aliyezika pesa
Swali zuri sana[emoji1690]Ila umepanga kwa aliyezika pesa
Safi hii. Ime-cost shilingi ngapi mpaka unamaliza?Kiufupi ukiamua kufanya unaweza mimi nilinunua uwanja nikataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu nikapiga msing vizur kabisa nikawa kila nikipiga hesabu nakuta nyumba itanifilisi nikaamua kujenga simple house ya chumba sebule jiko na masta mungu mkubwa atimaye nimemaliza na saiz nipo kujenga fence ili nikiamia nipambane na ii nyumba kubwa
Nilichojifunza amna pesa ndogo duniani na ukiamua unaweza kabisa View attachment 1502949
Halafu nasikia hizo tofali ni nzuri kuliko hizi za cement na mchangaHaha mkuu haiwezekani eti?!
Jenzi zinatofautiana kati ya mkoa na mkoa,sijaona alipofafanua kwamba huu ujenzi amefanya sehemu gani ya Tanzania ila kuna sehemu kama Mbeya na Tanga wanajengea zile tofali za kuchoma moja Tsh 100/= inaweza kuwa ni huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah Safi sana mkuuSasa hivi wamechoka sana wengine wamevurugwa wanatembea wanaongea barabarani peke yao na wengine mji umewashinda wamerudi vijijini kulima.
Ndio maana mm nikipataga vijisent huwa sifanyi makosa najihami haraka kwa kutumia reference za hao wazee
Daaah Safi sana mkuu
Mkuu Thesis sure broKukosa mahali pako pa kuishi ni stress. Jenga nyumba kwanza then mbwembwe nyingine zifuate. Kufanya biashara wakati familia ikiwa nyumbani kwako ni raha na ni amani sana. Hata level yako ya kubeba risk inakuwa kubwa zaidi
Nilivyopata kazi yangu ya kwanza tu sikutaka mbwembwe za habar ya kununua gari bali nikawa najinyima nijenge nyumba.
Namshukur mungu nilijenga kajumba standard chenye room 3 kimoja master,sebule,public toilet,dinning,kitchen nilifanya haya kabla sijaoa nilivyooa nikamchukua mke wangu tukahamia mjengoni
Hapa umetuchanganya wadau, nyumba ya vyumba vitatu vyw kulala, au vyumba vitatu unamaanisha sebule na jiko na chumba cha kulala ? Maana ukisema nyumba ya vyumba 3 maana yake ni vyumba vitatu vya kulala, jiko , Sebule, dining nk
Ml 9Safi hii. Ime-cost shilingi ngapi mpaka unamaliza?
Duuuuh. Kumbe inawezekana aisee!Ml 9
Una ngapi benki kiongozi?
Mziya hii ni chumba kimoja sebule jiko na choo?
Hapa sawa! Maana huku kwetu bara material ni changa moto. Cement nyati ni elfu 19Haha mkuu haiwezekani eti?!
Jenzi zinatofautiana kati ya mkoa na mkoa,sijaona alipofafanua kwamba huu ujenzi amefanya sehemu gani ya Tanzania ila kuna sehemu kama Mbeya na Tanga wanajengea zile tofali za kuchoma moja Tsh 100/= inaweza kuwa ni huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ya vyumba sita haiwez kuwa ya kawaida! Halafu vyumba vyote hivyo vya niniNyumba ya kawaida mkuu yenye vyumba 6.
Kibarua mwenyewe[emoji16][emoji16]Kiongozi nilianza chumba kimoja master msingi nikja onganisha msingi wa chumba cha pili master nikaja msingi wa chumba cha tatu master ,kisha nikaja kunyanya vyumba viwili boma nikapiga linta na kuezaka nikaeka milango nikahamia nikaendeleza hicho kingine na kunganisha ukumbi na jiko na store ,ila ilikuwa mwendo wa kobe ,tena nilikuwa mchumi hatari naandika kila nachotumia hapo mpaka nyumba inasimama na nashinda site na mafundi mwanzo mwisho sametime nakuwa kibarua mwenyewe
Wanadai siyo waoga wa maisha, hawajui kwamba hawana dhamana ya uhai wao. Akikata moto familia wanalia mara mbili, maana hawataweza kumudu kulipa pango......wanaanza kuhangaika upya mahali pa kuishi.Hii ni kujisahau. Unapata hela unaweza kulipa Kodi popote unaona huna umuhimu wa kujenga 'nje' ya mji. Siku unashtukia mrija wa pesa umeziba ndio unaanza kujuta.
Hapana vyumba ni viwili BossMziya hii ni chumba kimoja sebule jiko na choo?
Mkuu hiyo punch line ya mwisho imebeba ujumbe mzito mno.Nina biashara mbili nimeangukia pua. Lkn katika kuangukia pua huko nimejifunza mambo ambayo hata ningeambiwa mara mia pengine singeelewa au nisingeamini. Kwasasa najipanga kwa biashara nyingine. Sikati tamaa wala sitavunjika moyo.
Kwa ujumla ni raha sana kuwa na kwako, nilianza biashara kabla sijajenga, biashara zimeanguka na nyumba sina. Kama ningekuwa na nyumba ingekuwa rahisi sana kwangu kuinuka tena kibiashara kwa sababu ningekuwa sina hofu ya familia itakaa wapi nikikosa kodi. Kwasasa unakuta natafuta lakn mawazo ya kodi yanasumbua. Kwa kweli kujenga ni muhimu sana, kuwa na kwako ni raha sana. Ni rahisi kuiachia familia nyumba na wakaishi kwa kubangaiza lkn ni vigumu sana kuwaachia biashara familia na ikaendelea kama ulivokuwepo
Hali imekuwa siyo hali mkuu, mimi nipo kwenye pagale langu miezi sita sasa sijaongeza finishing yoyote. Hapo nadaiwa gypsum, plasta nje, tiles, aluminium, skimming, rangi.. na nina site yangu ya muda mrefu niliweka tu cha vyumba viwili ambavyo hata havijakamilika finishingi bado pananikodolea macho....ngoja tuone uchumi wa kati utakapotuelekeza.Sawa mkuu. Nyumba yangu ya pili imenikatisha tamaa sana hata huwa sitaki nipite kuiangalia kwa sababu hela imekuwa ngumu sana kipindi hiki.