Ujenzi: Nimefanya uchunguzi kwanini watu wengi wanashindwa au kuchelewa kuwa na kwao

Ujenzi: Nimefanya uchunguzi kwanini watu wengi wanashindwa au kuchelewa kuwa na kwao

We muache ipo siku atakukumbuka, na majuto kibao ndiyo dawa ya watu wabishi majuto kwao ndiyo mafundisho,

Huwezi kumaliza kila kitu unahamia na vingine vinaendelea wakati upo kwako, mdogo mdogo, aiseehh mbona unamaliza, tena ni kwako kwanza unakua na shauku na raha kupamaliza yani ukipata hela tu huyo unakimbilia site[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], nyumba za kupanga kuna kero sana, sisajua huyo dada anazifurahiaje,

Yani ujenzi uneletaga raha sana ukiwa unajenga kwako asikuambie mtu, kama mtu unajinyima unajenga kwako ni jambo la heri, jioni nilikua natoka na mafundi site nakaa nao mahali nawapa vinywaji nawambia nataka kumaliza kitu fulani ila hela imekata, wananipa moyo napata ushauri aiseeeh najikuata nimemaliza, so ushirikiano na mafundi pia umenisaidia sana sana
Nawakumbusha tu wadau msishindane na kinadada. Nadhani nimeeleweka.
 
Trust me unahitaji kiasi kidogo sana kutoka vyumba viwili kwenda vitatu. Utachelewa kidogo tu kumaliza ujenzi ila haitakushinda.
Vizuri kwa ushauri, lakini mtu akiwa na nia ya kujenga vyumba viwili, Alafu akaja kukutana na ushawishi kama huu,na akawa hana msimamo, atauchukua halafu baadae anashindwa kutimiza lengo lake , kwa Sababu ujenzi si kazi rahisi kama kuweka bandiko hapa JF.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Bora kujenga tu hivyo hivyo ukishindwa kuhamia unaipangisha tu halafu ile kodi na wewe unaenda kulipa ulikopanga bado hakuna hasara
Viwanja vya bei nafuu viko mbali na miji, vijana wengi wanashindwa kujenga kutokana na hili. Upate kiwanja Mambwepande na kazi unafanya Posta. Ukimaliza ujenzi gharama ya kwenda kazini kila siku ni Kheri kupanga nyumba Sinza.
 
Vizuri kwa ushauri, lakini mtu akiwa na nia ya kujenga vyumba viwili, Alafu akaja kukutana na ushawishi kama huu,na akawa hana msimamo, atauchukua halafu baadae anashindwa kutimiza lengo lake , kwa Sababu ujenzi si kazi rahisi kama kuweka bandiko hapa JF.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Sawa. Ninachoandika hapa nimekifanya,
 
Biashara ni nzuri ila kanuni za biashara ni lazima upoteze ndiyo upate, sasa kapesa ndiyo hako kamepatika pah then unataka kuweka yote kwenye biashara, TRA walivyo na sifa sahivi ya makusanyo ya kufikia malengo basi wafanyabiashara wanasumbuliwa na wanafuatilia, yani hiyo pesa itaenda yote kwenye mamlaka, angalau uweke kamjengo kako fullstop usipodaiwa kodi akili ya biashara inaweza kuja tu,
Kabisa mkuu
 
Heri moja kenda kuliko kumi nenda rudi, unajenga nyumba ya vyumba2, baada ya kuhamia unakaa miaka3 familia inakuwa kubwa. Mwisho unawaza kujenga nyumba nyingine kubwa.

Mkuu raha ya nyumba ujiachie. Sio unakuwa kwako utadhani upo geto, kajumba kadogooo.
Kwani lazima mtu ujenge nyumba moja!?
 
[emoji848][emoji848][emoji848]! Chumba self? Choo cha kukaa au kuchuchumaa? Madirisha umeweka flat bar na aluminium au nondo na wavu? Umetumia tofali ngapi? Tiles za ukutani chooni umeweka pamoja naza chini chumbani na scutting? Hapo bado roof! Khaaaa. BADO UFUNDI
Haha mkuu haiwezekani eti?!

Jenzi zinatofautiana kati ya mkoa na mkoa,sijaona alipofafanua kwamba huu ujenzi amefanya sehemu gani ya Tanzania ila kuna sehemu kama Mbeya na Tanga wanajengea zile tofali za kuchoma moja Tsh 100/= inaweza kuwa ni huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu...

Nadhani hujaipata point yangu,pale juu #1 tumesema “kadiri mtu miaka inavyosogea na majukumu ndiyo yanavyozidi kuongezeka” sasa ndo tuchukulie upo ktk hatua hiyo una watoto unalipa ada,hawajavaa hujawatunza wazazi na ajabu ya ridhiki kipato ulichokuwa ukikipata wakati huo hukipati tena then kichwani lije lakufanya ujenzi mzee utawezana?

Kwa muktadha huo,kama ungeniomba ushauri hapo nyuma kabla hujaanza ujenzi kwenye angle ya kiwanja chako ningekushauri uanze ramani ya nyumba kubwa as long as wewe ni mtafutaji ungepigana tu nyumba ingeisha,kama tayari una familia hujakosea ila wengi wanaojenga huu ujenzi wa “najenga kwanza nyumba ya kawaida kisha nitaja jenga nyumba kubwa huko mbeleni” hizi space zilizobaki kwenye viwanja vyao kama siyo kuja kuziuza basi huishia kujenga vyumba vya uwani vya kupangisha na kuanza kupishana hovyo na wapangaji majumbani mwao na hizo hazikuwa ndoto zao.
Sasa ukijenga nyumba kubwa halafu ukashindea imalizia?si bora ujenge ndogo kwanza
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenikumbusha mbali sana imenibidi nicheke.Nakumbuka mzee wangu alikuwa ananisimulia kuhusu wafanyakazi wenzake miaka ya zamani kabla hawajaretire walikuwa watu wa bata sana habar ya kujenga hawana time nayo.
Sasa ukiwaambia habari ya kujenga walikuwa wanajibu kwa nyodo"Wewe unajenga nyumba au unajenga police post?"Nyumba wanajenga wenye hela zao bwana.
Ha ha ha

Siwapatii picha now[emoji16]
 
Viwanja vya bei nafuu viko mbali na miji, vijana wengi wanashindwa kujenga kutokana na hili. Upate kiwanja Mambwepande na kazi unafanya Posta. Ukimaliza ujenzi gharama ya kwenda kazini kila siku ni Kheri kupanga nyumba Sinza.
Unaweza kujenga mbali sio lazima ukae unapangisha pesa unayopata inapunguza machungu ya gharama hata kama ukipanga sinza ili uwe karibu na offisi, pia kumbuka hutafanya kazi maisha yako yote posta au mjini, ukiacha kazi utarudi huko mbali ulipojenga, kila kitu ni mipango na mikakati tu
 
Sasa hivi wamechoka sana wengine wamevurugwa wanatembea wanaongea barabarani peke yao na wengine mji umewashinda wamerudi vijijini kulima.
Ndio maana mm nikipataga vijisent huwa sifanyi makosa najihami haraka kwa kutumia reference za hao wazee
Ha ha ha

Siwapatii picha now[emoji16]
 
Nilishaachana na kupanga, ninaongelea changamoto wanazopitia vijana.
Ndiyo ukichshauri sasa, haiwezekani uogope kujenga mbali kwa kuhofia umbali na kazini, kodi unayopata kule si ubajilipia kodi mjini inapunguza makali
 
Back
Top Bottom