Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa

Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa

Mita moja ya mraba (one square meter) ya tofali hizo zinaingia ngapi?
 
Mkuu, una uhakika kabisa ujenzi wa kutumia tofali hizo una save hadi 40%?, maana mimi nilikuwa mmoja wa wasimamizi wa nyumba za NHC miaka ya 2015-2017, ambapo tulisimamia miradi yote ya NHC Tanzania, ikiwemo na ule wa Mikwambe+Mwongozo
Mm nataka tu aniambe kwa mfano mjengo wa tofali 3,000 za block hiz inteock zitaingia ngap??
 
Hizi tofali nimeona nyumba za FFU Dodoma zimelika sana, mtu anaweza kusema ni ardhi ya chumvi lakini mbona nyumba zingine zipo poa?
Kifupi ni kuwa kwa mji kama Dodoma usitumie kabisa hii aina ya matofali utalia,hutanielewa nyumba ikiwa mpya,lakini baada ya miaka 7 na kuendelea nyumba itakuwa imeliwa vibaya sana......
 
Kifupi ni kuwa kwa mji kama Dodoma usitumie kabisa hii aina ya matofali utalia,hutanielewa nyumba ikiwa mpya,lakini baada ya ya miaka 7 na kuendelea nyumba itakuwa imeliwa vibaya sana......
Imeliwa kivip mkuu embutupe ufafanuzi zaid
 
Imeliwa kivip mkuu embutupe ufafanuzi zaid
Siwezi kueleza kitaalamu nini kinatokea,ila chumvi iliyoko kwenye baadhi ya maeneo ya ardhi ya Dodoma huwa inatafuna hizo tofali,sio hizo tu hata zile za cement za kawaida huwa zinaliwa...
 
Mara 2 yake
Kwa mm naona hydrafam interlock block kwa dat ni garama kwanza kuanzia kupima udongo wake km utafaa au laa, mashine zake pia ni garama kubwa so kivyovyot lazm tofali zitakuwa bei mby tu

Kwang mm sion kam hiz tofal zinapunguz garam labla unambie zin ubor kushind hiz nyingine
 
Mkuu ww unataka tofali au mashine? Nimesema kupima udongo bei gani? Kwanini usituachie hiyo kaz sisi?
 
Serikali ingezisambaza hizi mashine KILA wilaya zinzunguke vijijini Ili watz wajijengee nyumba bora na sio kuishi kwenye nyumba za udongo na nyasi utadhani panya karne hii
Ila kwanza wapime maeneo na kuwa na proper land planning and management
 
IMG_20220716_173355_420.jpg
 
Back
Top Bottom