Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nataka tu aniambe kwa mfano mjengo wa tofali 3,000 za block hiz inteock zitaingia ngap??Mkuu, una uhakika kabisa ujenzi wa kutumia tofali hizo una save hadi 40%?, maana mimi nilikuwa mmoja wa wasimamizi wa nyumba za NHC miaka ya 2015-2017, ambapo tulisimamia miradi yote ya NHC Tanzania, ikiwemo na ule wa Mikwambe+Mwongozo
Urefu wa kawaida tu wa fence mkuuUrefu futi ngapi unataka?
Tofali 9500 bossUrefu wa kawaida tu wa fence mkuu
Tofali moja sh ngap mkuuTofali 9500 boss
700Tofali moja sh ngap mkuu
Kifupi ni kuwa kwa mji kama Dodoma usitumie kabisa hii aina ya matofali utalia,hutanielewa nyumba ikiwa mpya,lakini baada ya miaka 7 na kuendelea nyumba itakuwa imeliwa vibaya sana......Hizi tofali nimeona nyumba za FFU Dodoma zimelika sana, mtu anaweza kusema ni ardhi ya chumvi lakini mbona nyumba zingine zipo poa?
Imeliwa kivip mkuu embutupe ufafanuzi zaidKifupi ni kuwa kwa mji kama Dodoma usitumie kabisa hii aina ya matofali utalia,hutanielewa nyumba ikiwa mpya,lakini baada ya ya miaka 7 na kuendelea nyumba itakuwa imeliwa vibaya sana......
Siwezi kueleza kitaalamu nini kinatokea,ila chumvi iliyoko kwenye baadhi ya maeneo ya ardhi ya Dodoma huwa inatafuna hizo tofali,sio hizo tu hata zile za cement za kawaida huwa zinaliwa...Imeliwa kivip mkuu embutupe ufafanuzi zaid
Mara 2 yakeMm nataka tu aniambe kwa mfano mjengo wa tofali 3,000 za block hiz inteock zitaingia ngap??
Kwa mm naona hydrafam interlock block kwa dat ni garama kwanza kuanzia kupima udongo wake km utafaa au laa, mashine zake pia ni garama kubwa so kivyovyot lazm tofali zitakuwa bei mby tuMara 2 yake
Mkuu ww unataka tofali au mashine? Nimesema kupima udongo bei gani? Kwanini usituachie hiyo kaz sisi?Kwa mm naona hydrafam interlock block kwa dat ni garama kwanza kuanzia kupima udongo wake km utafaa au laa, mashine zake pia ni garama kubwa so kivyovyot lazm tofali zitakuwa bei mby tu
Kwang mm sion kam hiz tofal zinapunguz garam labla unambie zin ubor kushind hiz nyingine
Ila kwanza wapime maeneo na kuwa na proper land planning and managementSerikali ingezisambaza hizi mashine KILA wilaya zinzunguke vijijini Ili watz wajijengee nyumba bora na sio kuishi kwenye nyumba za udongo na nyasi utadhani panya karne hii
Ndio bei gani tofali mojaTofali mpya lakini imaraView attachment 2339887
650 ila inapungua kulingana na oda yakoNdio bei gani tofali moja
Minimum oda?650 ila inapungua kulingana na oda yako
Walau 5000Minimum oda?