FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Naona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.