Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo

Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo

msimamizi wa ujenzi/ consultant ni nani?
hao wasimamizi wapo barabarani au maofisini?
 
Huyo Vasco dagama ndiye kajenga Barbara zote za lami kuunganisha mikoa na wilaya, ndiye kajenga UDOM, ndiye kajenga mwendokasi, ndiye kaja na mpango Wa SGR, ndiye kajenga terminal 3 Dar ea salaam airport, kajenga kambi na vyuo vya kijeshi, ukumbi Wa meal nyerere ulijengwa na yeye, mlimani city je? ndiye kaja na mpango Wa flyovers zote, ndiye kajenga nyumba za gorofa za askari na usalama, ndiye kavuta maji kutoka wami kwenda Handeni na Chalinze, ndiye kaanzisha kuvuta maji kutoka ziwa Victoria kwenda mikoa ya Mwanza, shinyanga, tabora, hadi Dodoma, ndo kajenga shule za kata na dispensaries kila kijiji, magora yote Dar yamejengwa wakati wake. Hivi JK utamfananisha na nani
Mpango wote ulianzia kwa Big Ben, JK akapokea kijiti akakikimbiza mpaka alipofikia akapokea anko Magu. Sifa haipo kwa mmoja tu. Ukitaka kusifia Unawiri wa Matunda juu ya Matawi mara zote angalia Shina
 
Hiyo yote alikuwa ni mipango ya JK. Mipango ya JPM ni ile ya ujenzi Wa chato, vitambulisho vya machinga, wakulima kusamehewa kusafirisha mazao yao yasiyozidi gunia 10, machinga wasiguswe wafanye biashara popote, na ujenzi Wa njia 8 kwenda Kibaha na ukuta Wa melerani.
Hata njia nane alikuta upembuzi ulishafanyika
 
Hiyo yote alikuwa ni mipango ya JK. Mipango ya JPM ni ile ya ujenzi Wa chato, vitambulisho vya machinga, wakulima kusamehewa kusafirisha mazao yao yasiyozidi gunia 10, machinga wasiguswe wafanye biashara popote, na ujenzi Wa njia 8 kwenda Kibaha na ukuta Wa melerani.
Nchi ina master plan, acheni mambo ya JK sijui JPM. Kila kinachofanyiko kiko planned, mchango wa rais ni usimamizi.
 
Haya yameanza tokea enzi za jk kwanini hatuwasikii mkisema jk ni shujaa wa afrika

magufuli angekuwa kilaza kama mnavyotaka kuaminisha watu zisingefika popote hizo barabara.

halafu kumbe jk nayeye ni muumini wa maendeleo vitu[emoji38][emoji38],nyumbu bana.
 
Hiyo yote alikuwa ni mipango ya JK. Mipango ya JPM ni ile ya ujenzi Wa chato, vitambulisho vya machinga, wakulima kusamehewa kusafirisha mazao yao yasiyozidi gunia 10, machinga wasiguswe wafanye biashara popote, na ujenzi Wa njia 8 kwenda Kibaha na ukuta Wa melerani.

IMG_0324.jpg
 
Huyo Vasco dagama ndiye kajenga Barbara zote za lami kuunganisha mikoa na wilaya, ndiye kajenga UDOM, ndiye kajenga mwendokasi, ndiye kaja na mpango Wa SGR, ndiye kajenga terminal 3 Dar ea salaam airport, kajenga kambi na vyuo vya kijeshi, ukumbi Wa meal nyerere ulijengwa na yeye, mlimani city je? ndiye kaja na mpango Wa flyovers zote, ndiye kajenga nyumba za gorofa za askari na usalama, ndiye kavuta maji kutoka wami kwenda Handeni na Chalinze, ndiye kaanzisha kuvuta maji kutoka ziwa Victoria kwenda mikoa ya Mwanza, shinyanga, tabora, hadi Dodoma, ndo kajenga shule za kata na dispensaries kila kijiji, magora yote Dar yamejengwa wakati wake. Hivi JK utamfananisha na nani?

nyumbu usisahau wazili wa ujenzi alikuwa baba yako.
IMG_0324.jpg
 
Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.

Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Jiwe Mradi wa BRT kaukuta umefanyika kila kitu, including kupatikana kwa Financier ambae ni World Bank!
 
Awamu ya tano kelele zilikuwa nyingi mno, hata wakichimba choo cha shule moja wanakimbilia kwenye tv kutangaza, hii ndiyo iliyowavuruga baadhi ya watu kudhani awamu hii imefanya makubwa kuliko awamu zote zikijumlishwa.
Tulikua tunaongoza na mataahira,ndugai yeye alisema anafail mirembe
 
Back
Top Bottom