FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Haya yameanza tokea enzi za jk kwanini hatuwasikii mkisema jk ni shujaa wa afrikaHizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.
Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Bus za mwendo kasi hazitakwama tena jangwani kwasababu ya mvua hasa ikimalizika pia karume hadi KkooNaona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.
View attachment 1755801
Vasco da gamaHaya yameanza tokea enzi za jk kwanini hatuwasikii mkisema jk ni shujaa wa afrika
Nchi lazima ijengwe .... ukisikia neno kujenga nchi maana yake mchanga na cement lazima utumike sana
Huyo ndio Shujaa wanguVasco da gama
Hiyo yote alikuwa ni mipango ya JK. Mipango ya JPM ni ile ya ujenzi Wa chato, vitambulisho vya machinga, wakulima kusamehewa kusafirisha mazao yao yasiyozidi gunia 10, machinga wasiguswe wafanye biashara popote, na ujenzi Wa njia 8 kwenda Kibaha na ukuta Wa melerani.Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.
Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Huyo Vasco dagama ndiye kajenga Barbara zote za lami kuunganisha mikoa na wilaya, ndiye kajenga UDOM, ndiye kajenga mwendokasi, ndiye kaja na mpango Wa SGR, ndiye kajenga terminal 3 Dar ea salaam airport, kajenga kambi na vyuo vya kijeshi, ukumbi Wa meal nyerere ulijengwa na yeye, mlimani city je?Vasco da gama
Taarifa zimfikie CAGNaona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.
View attachment 1755801
Awamu ya tano kelele zilikuwa nyingi mno, hata wakichimba choo cha shule moja wanakimbilia kwenye tv kutangaza, hii ndiyo iliyowavuruga baadhi ya watu kudhani awamu hii imefanya makubwa kuliko awamu zote zikijumlishwa.Taarifa zimfikie CAGView attachment 1756017
CAG hajatumia vilainishi ndio maana mmemchukia sana MATAGANaona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.
View attachment 1755801