Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo

msimamizi wa ujenzi/ consultant ni nani?
hao wasimamizi wapo barabarani au maofisini?
 
Mpango wote ulianzia kwa Big Ben, JK akapokea kijiti akakikimbiza mpaka alipofikia akapokea anko Magu. Sifa haipo kwa mmoja tu. Ukitaka kusifia Unawiri wa Matunda juu ya Matawi mara zote angalia Shina
 
Hata njia nane alikuta upembuzi ulishafanyika
 
Nchi ina master plan, acheni mambo ya JK sijui JPM. Kila kinachofanyiko kiko planned, mchango wa rais ni usimamizi.
 
Haya yameanza tokea enzi za jk kwanini hatuwasikii mkisema jk ni shujaa wa afrika

magufuli angekuwa kilaza kama mnavyotaka kuaminisha watu zisingefika popote hizo barabara.

halafu kumbe jk nayeye ni muumini wa maendeleo vitu[emoji38][emoji38],nyumbu bana.
 

 

nyumbu usisahau wazili wa ujenzi alikuwa baba yako.
 
Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.

Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Jiwe Mradi wa BRT kaukuta umefanyika kila kitu, including kupatikana kwa Financier ambae ni World Bank!
 
Awamu ya tano kelele zilikuwa nyingi mno, hata wakichimba choo cha shule moja wanakimbilia kwenye tv kutangaza, hii ndiyo iliyowavuruga baadhi ya watu kudhani awamu hii imefanya makubwa kuliko awamu zote zikijumlishwa.
Tulikua tunaongoza na mataahira,ndugai yeye alisema anafail mirembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…