Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo


Unataka tumsifie akivyokua anakupiga miti?
Mabarabara ni kitu cha chini sana ambacho hupaswi kumsifia rais,kama ukiwa na akili timamu na akili zako znafanya kaz vizur,labda kama unatumia mkundu kufikir ndo unaweza kusifia kwa ujenz wa barabara tu,hata sisimiz wanajenga barabara
 
kuna shida sehemu...watanzania wagumu katika kutekeleza sio kupanga...kuna mmoja mtoa ahadi wa mipango mzuri ila si mtekelezaji wa mambo yake,kimsingi kila serikali huanzisha mipango na kuandaa mpango ya serikali inayokuja upimaji ni kwenye utekelezaji.
 
hahah, huna unachokijua, phase 1 ni kimara to ferry, kwanini ilienda kariakoo na kinondoni. hiyo ya mbagala pamoja na hiyo ya ilalavyote ni phase 2
 
Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.

Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Magufuli alitaka kujitwalia utukufu was CCM akafa, kazi za chama hizo
 
Kwanini sasa havikujenjwa awamu io?
Uwezi kumaliza yote kwenye awamu yako vinginevyo utataka kuwa Rais wa maisha Jk alifanya yake JPM alifanya yake na Mama nae atafanya yake
 
hahah, huna unachokijua, phase 1 ni kimara to ferry, kwanini ilienda kariakoo na kinondoni. hiyo ya mbagala pamoja na hiyo ya ilalavyote ni phase 2
Kumbe, nilijua ya kwenda Mbagala ni phase 3, r u sure?
 
Duuuh, huu upenzi ni wa kiwango cha SGR.

Miaka mitano ya kwanza, raisi yeyote anatembelea mipango iliyopo, mitano inayofuata anakuwa bize kujilimbikizia mali, hapo sasa anaweza chora ramani ya miaka 5(ya mwenzake) ijayo.

Kabla hamjaanza hizi tambo, tuambieni mipango iliyokuwepo kuanzia awamu ya kwanza, ipi ilikamilika na ilikamilika awamu ipi? Ipi bado na ipi ndo inaendelezwa sasa; mfano, daraja la Mkapa, ni mpango wa awamu ya kwanza, awamu ya 3 wakaanzisha mchakato uliokamilika awamu ya nne.

Uwanja wa mpira ni mpango wa awamu ya tatu, ukakamilika awamu nne, mpango wa kusambaza umeme nchi zima ni wa awamu ya pili kwa gharama ya Tshs 1.2trillion, Tanesco wakanyimwa, wakapewa IPTL, guess nani alileta IPTL! Mpaka leo mradi huo haujakamilika, umeridhiwa na REA kwa kuwakamua wananchi sasa.

Maji ya Nile, mpango wa awamu ya 3, Lowasa akawashinda waarabu na mradi ukafanyika kipindi hicho.

Sasa, tujue basi ili anayestahili asifiwe na tusisahau kuweka na madudu yao, tupime ili tupate mizania sawa na ya haki.
 
Twambie Rais/utawala ambao haukujenga barabara - Wajerumani, Waingereza, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikiwete. Hata Samia pia anajenga kwa kaisi chake. Usiwe mjinga. Hata makubaliano ya kujenga daraja la Ubungo na Mfugale yalitiwa saini wakati wa JK. Tumia ubongo uliyopewa na Mungu vizuri. Tawala zote zilijenga barabara kwa kiwango chake.
Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.

Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…