Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

Mkuu jiongeze,vinginevyo watakuita kilaza.
Wewe ulisoma ABC ya mkataba?
Umesahau kuwa wadau wa mkataba ndio wanafanikisha mkataba?
Na hujui katika mkataba kuna wanauza na wanaonunua?
Elimu mkuu achana na porojo.

Mkuu hapa naona tu furushi la maneno ya kiswahili, yenye koma,nukta na alama za kuuliza. Sioni lolote jipya kwenye maelezo yako.
 
Halafu nani kamualika nani? Mmoja anasema amepigiwa simu ili wamalizie mradi uanze, mwingine anasema amealikwa kwa sababu mwenzie anatafuta kura na yeye anamwombea kwa Mungu na wananchi waipe kura CCM!
Enhee! Hii nini aisee
 

Wanasema wanataka haki ili watukane viongozi, na mfano ulikuwa kenya,
Kasa Kenyata pia kawaweka ndani baadhi ya wabunge waliomtukana,
Mbona chadema hawa kulalamika kuwa kenyata anabana haki ya watu?

Chadema wanataka haki ya kutukana hakuna lingine.
 
Kwa hoja zako hapo juu 🖕, naomba nikuulize swali moja tu:-
Kwanini mnashiriki kwenye uchaguzi ambao mnajua kabisa kuwa hamtshinda..?
 
Hahaha kaja kumfanyia Magufuli promo, hakuna chochote cha maana.
Hata hakujipanga kabisa.
 
M7 ni dictator mzoefu, safari hii afadhali kufa kuliko ukhnith
 
Kagame kagoma kutumika Uhuru kagoma Burundi wamegoma na mseveni aache kuja kichwa kichwa maana nchi zingine kunyamaza Kuna maana kubwa sana.
 
Hata mie naitafuta sijui kaiweka wapi?

Itafute katika dimension ya kijeshi na decision za kijeshi huwa ni one way no matter what or regardless of whatever threats or risks associated in the process.
 
Kwa hoja zako hapo juu [emoji867], naomba nikuulize swali moja tu:-
Kwanini mnashiriki kwenye uchaguzi ambao mnajua kabisa kuwa hamtshinda..?
Kwanini mnaenda kupiga Kampeni Lindi huku mkidanganya eti zile bil. 20 za korosho mlishazilipa zote ila tu ni viongozi wa vyama vya ushirika ndio 'walizipiga' juu kwa juu.
 
Kwa kazi anayofanya Rais na wasaidizi wake hakuna sababu yoyote ya kucheza faulo kwenye uchaguzi.

Ukaribu wa Rais na anaowaongoza ni kampeni tosha kabisa, Tanzania halisi ni tofauti na hizi siasa za pinga pinga za mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…