Rais Magufuli anaitangaza hifadhi ya burigi -chato kwa aina yake
Miaka michache ijayo hii hifadhi itakuwa inaingiza fedha nyingi sana
Asante sana Rais Magufuli kwa kuona mbali
Mzee shule hujaenda soma uzi wa Pascal Mayalla kuhusu CODO, DODO na COCO kukupa summary ni kwamba Total inaachana na biashara ya kuvimiliki vituo vya mafuta na kuwauzia watu binafsi lakini itakua inaoperate kwa kutumia jina la TOTALVile vile anakwenda kum update Mheshiwa Rais wetu juu ya bomba la mafuta baada ya Rais Museveni kukutana na CEO wa Total Patrick Pouyane na kuwezeshwa kusainiwa document muhimu kwa ajili ya kufikia Final Investment Decision (FID) ya uwekezaji katika bomba hilo.
Halafu yule mgombea wa Mbowe anasema Total inaondoka Tanzania ! Aibuuu ! No research no right to speak !
Anakuja kumpa taarifa kwamba mradi wa bomba la mafuta sasa tayari
Wale wachawi walisema huu mradi umeishakufa, lakini hawana aibu watakuja na uchawi mwingine.Anakuja kumpa taarifa kwamba mradi wa bomba la mafuta sasa tayari
Wakati ule pale chongoleani Tanga mkawaweka wale wazungu wa Total kwenye jua, mlikuwa mnafanya utapeli wa nini? Huyo Museveni ni bonge la tapeli, aliwahi kuomba enzi za Mkapa RIP, apewe sehemu ya bandari ya Tanga ili apitishe mizigo ya Uganda. Mpaka Mkapa anaingia juzi kaburini hajawahi hata kuona tofali moja! Nilidhani kwakuwa hizi mbwembwe zilifanyika na mradi haukuanza, hakukuwa na haja tena ya kukusanya kundi lile lile la viongozi kula pesa za wananchi, wakati huu wa kampeni kurudia jambo lile, sana sana mnaonekana mnafanya kampeni za kitapeli, ndio maana kumejaa nguo za ccm kwenye huo utapeli. Ukitaka kujua hizo ni kampeni za kitapeli, wale wazungu wa Total mbona leo hawapo maana hela ni zao?
Punguza hasira leo ni hatua ya kutiliana mkataba
Siku nyingine utawaona tena wanasema leo ni siku ya kuweka jiwe la msingi.Siku ile Tanga tuliambiwa ni kuwekeana mkataba, na mradi utakamilika 2020! Ukitaka kujua hamna mkataba bali ni kampeni za kitapeli, wale wazungu wa Total wenye huo mradi mbona leo hawapo? Au hao wanaccm ndio watatoa hiyo 7t+ kujenga huo mradi? Bado mna kampeni za kitapeli miaka hii?
As your asshole..!Jiwe is a Dying horse!
Wivu unakutesa mkuu tindo.
Unaaribu Uzi za watuLissu ni mgonjwa akili kisaikolojia hajakaa sawa
Tusimchukulie maanani sana
Baada ya uchaguzi, jamaa lazima akimbie nchi.Kesho CHUMAAAA kitakuwa Mkoa Kagera kuzoa kura za kutosha. Huyo ndiyo rais wenu anayesubiri kuapishwa.Tundu Lissu atakuwa amerudi kwao ubeligiji
Tulizeni vibumbu vyenu, tutaelewana tu😂.Hoja yangu iko wazi, jibu nini kilifanyika pale Tanga wazungu wa Total wenye mradi wakiwepo, ila leo wazungu wa total hawapo, bali wanaccm ndio wamejazana hapo? Huu mradi ulitakiwa hii 2020 uwe unafanya kazi, wakati ule ilikuwa ni mkataba wa nini, na leo ni mkataba wa nini kama sio kampeni za kishamba na utapeli ndani?
Pole sana mkuu. Kwani unaamini kuwa Museveni kafunga Safari kutoka Kampala kwa ajili ya kuifanyia kampeni CCM.Hoja yangu iko wazi, jibu nini kilifanyika pale Tanga wazungu wa Total wenye mradi wakiwepo, ila leo wazungu wa total hawapo, bali wanaccm ndio wamejazana hapo? Huu mradi ulitakiwa hii 2020 uwe unafanya kazi, wakati ule ilikuwa ni mkataba wa nini, na leo ni mkataba wa nini kama sio kampeni za kishamba na utapeli ndani?
Baada ya uchaguzi, jamaa lazima akimbie nchi.
Nani alikwambia mradi wa gesi umekufa🤔?Ni ujinga kufurahia mradi wa mwenzako wa mafuta, kwako umeua mradi wa gas ambao ulikuwa mkubwa zaidi ya mara 10 ya unaoufurahia.
Leo Mozambique ni nchi ya pili Duniani katika uwekezaji mkubwa wa gas kwa mwaka 2019/2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiria sasa.Amekuwepo hapa nchini toka chaguzi enzi za Nyerere, ni lini aliwahi kukimbia hii nchi?