Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

Rais Magufuli anaitangaza hifadhi ya burigi -chato kwa aina yake

Miaka michache ijayo hii hifadhi itakuwa inaingiza fedha nyingi sana

Asante sana Rais Magufuli kwa kuona mbali

Hivi kwanini comments zako huwa za kitopolo topolo?
 
Vile vile anakwenda kum update Mheshiwa Rais wetu juu ya bomba la mafuta baada ya Rais Museveni kukutana na CEO wa Total Patrick Pouyane na kuwezeshwa kusainiwa document muhimu kwa ajili ya kufikia Final Investment Decision (FID) ya uwekezaji katika bomba hilo.

Halafu yule mgombea wa Mbowe anasema Total inaondoka Tanzania ! Aibuuu ! No research no right to speak !
Mzee shule hujaenda soma uzi wa Pascal Mayalla kuhusu CODO, DODO na COCO kukupa summary ni kwamba Total inaachana na biashara ya kuvimiliki vituo vya mafuta na kuwauzia watu binafsi lakini itakua inaoperate kwa kutumia jina la TOTAL
 
Anakuja kumpa taarifa kwamba mradi wa bomba la mafuta sasa tayari

Wakati ule pale chongoleani Tanga mkawaweka wale wazungu wa Total kwenye jua, mlikuwa mnafanya utapeli wa nini? Huyo Museveni ni bonge la tapeli, aliwahi kuomba enzi za Mkapa RIP, apewe sehemu ya bandari ya Tanga ili apitishe mizigo ya Uganda. Mpaka Mkapa anaingia juzi kaburini hajawahi hata kuona tofali moja! Nilidhani kwakuwa hizi mbwembwe zilifanyika na mradi haukuanza, hakukuwa na haja tena ya kukusanya kundi lile lile la viongozi kula pesa za wananchi, wakati huu wa kampeni kurudia jambo lile, sana sana mnaonekana mnafanya kampeni za kitapeli, ndio maana kumejaa nguo za ccm kwenye huo utapeli. Ukitaka kujua hizo ni kampeni za kitapeli, wale wazungu wa Total mbona leo hawapo maana hela ni zao?
 
Bomba linapita kwa zaidi ya asilimia 85 Tanzania halafu tozo Uganda inachukua asilimia 40. Yani Magufuli kakiuka hata makubaliano ya mibunge yake ya CCM waliyopitisha. Dah kamuita chamber kaondoa hiyo asilimia 20 ili kujinufaisha kisiasa! Any way Musseven amecheza smart!
 
Wakati ule pale chongoleani Tanga mkawaweka wale wazungu wa Total kwenye jua, mlikuwa mnafanya utapeli wa nini? Huyo Museveni ni bonge la tapeli, aliwahi kuomba enzi za Mkapa RIP, apewe sehemu ya bandari ya Tanga ili apitishe mizigo ya Uganda. Mpaka Mkapa anaingia juzi kaburini hajawahi hata kuona tofali moja! Nilidhani kwakuwa hizi mbwembwe zilifanyika na mradi haukuanza, hakukuwa na haja tena ya kukusanya kundi lile lile la viongozi kula pesa za wananchi, wakati huu wa kampeni kurudia jambo lile, sana sana mnaonekana mnafanya kampeni za kitapeli, ndio maana kumejaa nguo za ccm kwenye huo utapeli. Ukitaka kujua hizo ni kampeni za kitapeli, wale wazungu wa Total mbona leo hawapo maana hela ni zao?

Wivu unakutesa mkuu tindo.
 
Punguza hasira leo ni hatua ya kutiliana mkataba

Siku ile Tanga tuliambiwa ni kuwekeana mkataba, na mradi utakamilika 2020! Ukitaka kujua hamna mkataba bali ni kampeni za kitapeli, wale wazungu wa Total wenye huo mradi mbona leo hawapo? Au hao wanaccm ndio watatoa hiyo 7t+ kujenga huo mradi? Bado mna kampeni za kitapeli miaka hii?
 
Siku nyingine utawaona tena wanasema leo ni siku ya kuweka jiwe la msingi.
 
Wivu unakutesa mkuu tindo.

Hoja yangu iko wazi, jibu nini kilifanyika pale Tanga wazungu wa Total wenye mradi wakiwepo, ila leo wazungu wa total hawapo, bali wanaccm ndio wamejazana hapo? Huu mradi ulitakiwa hii 2020 uwe unafanya kazi, wakati ule ilikuwa ni mkataba wa nini, na leo ni mkataba wa nini kama sio kampeni za kishamba na utapeli ndani?
 
Kesho CHUMAAAA kitakuwa Mkoa Kagera kuzoa kura za kutosha. Huyo ndiyo rais wenu anayesubiri kuapishwa.Tundu Lissu atakuwa amerudi kwao ubeligiji
Baada ya uchaguzi, jamaa lazima akimbie nchi.
 
Hoja yangu iko wazi, jibu nini kilifanyika pale Tanga wazungu wa Total wenye mradi wakiwepo, ila leo wazungu wa total hawapo, bali wanaccm ndio wamejazana hapo? Huu mradi ulitakiwa hii 2020 uwe unafanya kazi, wakati ule ilikuwa ni mkataba wa nini, na leo ni mkataba wa nini kama sio kampeni za kishamba na utapeli ndani?
Tulizeni vibumbu vyenu, tutaelewana tu😂.
 
Hoja yangu iko wazi, jibu nini kilifanyika pale Tanga wazungu wa Total wenye mradi wakiwepo, ila leo wazungu wa total hawapo, bali wanaccm ndio wamejazana hapo? Huu mradi ulitakiwa hii 2020 uwe unafanya kazi, wakati ule ilikuwa ni mkataba wa nini, na leo ni mkataba wa nini kama sio kampeni za kishamba na utapeli ndani?
Pole sana mkuu. Kwani unaamini kuwa Museveni kafunga Safari kutoka Kampala kwa ajili ya kuifanyia kampeni CCM.
 
Ni ujinga kufurahia mradi wa mwenzako wa mafuta, kwako umeua mradi wa gas ambao ulikuwa mkubwa zaidi ya mara 10 ya unaoufurahia.

Leo Mozambique ni nchi ya pili Duniani katika uwekezaji mkubwa wa gas kwa mwaka 2019/2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alikwambia mradi wa gesi umekufa🤔?
 
Back
Top Bottom