Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Naona Mzee wa Kotapini inaingia kwa nguvu na kutoka kwa nguvu , kaja kuongeza nguvu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo🤔?Watanzania jamani hapa ndio tutie akili, haya mambo ya Chato kufanyika ziara hizi si dalili nzuri. Huyu kweli ataweza kuruhusu akili yake ikubali kuwa haya hayatakuwepo tena huko Chato akishindwa kwenye sanduku la kura?? Si atakomaa na kiti mpaka kufa kwake ili haya yaendelee! Chato sasa ndio Ikulu ya nchi.
Pole sana mkuu. Kwani unaamini kuwa Museveni kafunga Safari kutoka Kampala kwa ajili ya kuifanyia kampeni CCM.
Mmeamua kuja na hoja nyingine? Ile hoja yenu ya kwamba jamaa kakata upepo,anaumwa,imeishia🤔?Kwa hakika TUNDU LISSU ni jawabu la watanzania.
Baada ya kumchachafya sanaaa magufuli kwenye kampeni juu ya kuharibu mahusiano na majiran, kujenga kiwanja chato ambacho hakina faida
JAMAA WAMEHANGAIKA SANAA, NASIKIA M7 KAJA KWA MAKUBALIANO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zinaahirishwa ndoa sembuse muda wa kuanza kwa mradi!!.Kipi kinamshinda? Kwani anatumia gharama gani wakati gharama zote zinabebwa na serikali yetu? Narudia tena maana naona unakwepa hapo. Siku ile Tanga walisaini mkataba kuwa ujenzi unaanza na kukamilika hii 2020, tena mbele ya wazungu wa Total. Iweje leo 2020 mradi haujaanza kisha wanasaini tena mradi kuanza, huku wazungu wa Total hawapo, zaidi ya wanaccm walioko kwenye kampeni mode? Jikite kwenye ufafanuzi huo.
Lisu ni debe tupunaona lissu kajibiwa kwa vitendo[emoji1787][emoji1787][emoji1787], si alisema majirani zetu sijui nini
Nani alikwambia mradi wa gesi umekufa🤔?
Unajua M7 nae ana uchaguzi huko kwake?Na yeye pia anatafuta cha kusema kwny kampeni zake,bobby wine amemkalia kooni balaaPole sana mkuu. Kwani unaamini kuwa Museveni kafunga Safari kutoka Kampala kwa ajili ya kuifanyia kampeni CCM.
Utumwa ni kitu kibaya mno sasa hii taabu yote unalipwa kiasi gani maana kila comment unataka kujibu wewe! Aisee unahitaji ukombozi wa akiliNdio hivyo Mkuu watalii wataongezeka sana
Ndio uelewe rais wa nchi hii ni nana....Aisee, ina maana mtu anagombea huku anaendelea kufanya kazi kama rais?
Hata wewe umeshindwa kulielewa swali langu,kwasababu liko nje ya uwezo wa ubongo wako, yeye angeliewa sio wewe nyumbu.Subiria hoja mserereko, userereke nazo kinyumbu-nyumbu, Ila iwe Makini, usije kufa kama wale wenzako 300 kule mto Mara.Hoja ya huyo uliyemquote iko nje ya uwezo wako, ww subiri hoja za nyomi ndio ziko ndani ya uwezo wako.
Kweli watalii wakiganda watakua wanamiminika apa Chato -Burigi iliyokua Kagera huko zamaniRais Magufuli anaitangaza hifadhi ya burigi -chato kwa aina yake
Miaka michache ijayo hii hifadhi itakuwa inaingiza fedha nyingi sana
Asante sana Rais Magufuli kwa kuona mbali
Una hoja ya msingi sana na swali lako linahitaji jibu watu waelewe kilichofanyika Leo tena ni nn tofauti na kile cha nyuma, tatizo unatumia maneno mengi sana kuelezea hoja.Wakati ule pale chongoleani Tanga mkawaweka wale wazungu wa Total kwenye jua, mlikuwa mnafanya utapeli wa nini? Huyo Museveni ni bonge la tapeli, aliwahi kuomba enzi za Mkapa RIP, apewe sehemu ya bandari ya Tanga ili apitishe mizigo ya Uganda. Mpaka Mkapa anaingia juzi kaburini hajawahi hata kuona tofali moja! Nilidhani kwakuwa hizi mbwembwe zilifanyika na mradi haukuanza, hakukuwa na haja tena ya kukusanya kundi lile lile la viongozi kula pesa za wananchi, wakati huu wa kampeni kurudia jambo lile, sana sana mnaonekana mnafanya kampeni za kitapeli, ndio maana kumejaa nguo za ccm kwenye huo utapeli. Ukitaka kujua hizo ni kampeni za kitapeli, wale wazungu wa Total mbona leo hawapo maana hela ni zao?
Hili swali la muhimu. Lijibiwe kama lina jibu.Kipi kinamshinda? Kwani anatumia gharama gani wakati gharama zote zinabebwa na serikali yetu? Narudia tena maana naona unakwepa hapo. Siku ile Tanga walisaini mkataba kuwa ujenzi unaanza na kukamilika hii 2020, tena mbele ya wazungu wa Total. Iweje leo 2020 mradi haujaanza kisha wanasaini tena mradi kuanza, huku wazungu wa Total hawapo, zaidi ya wanaccm walioko kwenye kampeni mode? Jikite kwenye ufafanuzi huo.
Zinaahirishwa ndoa sembuse muda wa kuanza kwa mradi!!.