Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora


Bangi ni zao zuri lakini linasumbua ukiamua kupitiliza....kipande cha Isaka Mwanza kishaanza. Ukiamua kuishia Tabora haina maana utashindwa...inawezekana ila ni kwa matumizi ya bangi au cocaine peke yake ndio utatoa maamuzi kama hayo
 
Itakamilikaje Kama mwenyemaamuzi amesema maji yatajazwa siyo kabla ya machi22 kwa sababu ya winchi,na Kama waziri Hana impakti yote kwa Nini abadilishwe na Kuleta tofauti kubwa hivyo.kumbuka hoja hapa ulikuwa kufeli kwa tazara,ebu tupe sababu Kama mtaalamu,miundo mbinu ipo,hakuna mshindani.
 
Du!!! Nikikumbuka mwa 2016 wakati Niko chuo jamaa mmoja akawa anatuambia Magu anakusanya pesa siku za mbeleni akija kuziachia tutakula Raha sana. Mm nkamuuliza hizo pesa anakusanya wapi? Kila nkimkumbishaga mshkaji huwa anaishia kucheka tu
 
Kama nakuelewa vile. Wazungu Wana reli za umeme mpaka tubes, lakini ni kwaajili yao mchini zaidi. Je,sisi tuna luxury hiyo?
 
Watu wamekojoa kwenye akili zako siyo bure yani uliyo pendekeza ni zaidi ya maiti sijui umezaliwa leo duniani ndiyo ujui nini kinachoendelea ......acha nikujulishe wewe bogazi unajua kunakitu kilikuwa kinaitwa COW je unajua icho kitu ni nini? Je unajua kwanini magufuli aliona ajenge reli bora zaidi ya mapendekezo ya awali ,ungeweza kujibu tu hayo maswali kwa usahihi ungeweza kujua kuwa wewe hauna AKILI HATA KIDOGO ....SASA NITAKUJULISHA MAJIBU ...UKUMBUKE KUWA KENYA KUNA SGR TENA UNATAKIWA KUJUA SGR YA KENYA ILIKUWA INAJENGWA KWA MIKAKATI GANI? NA JE KWANINI SGR YA KENYA ILIKWAMA KUFIKIA HIYO MIKAKATI,SASA HAPO ULITAKIWA KUJUA KUWA SGR YA KENYA NDIYO ILITAKIWA KUUNGANISHA NCHI ZOTE AMBAZO BANDARI YETU INAZITEGEMEA KWA MIZIGO HIYO MBINU YA MAGUFULI ILIFANIKIWA KUKWAMISHA MIPANGO YA SGR YA KENYA AMBANYO INGETUPOKONYA NA YENYEWE KUWA KITUO KIKUU CHA UCHUMI HIVYO TUKIZEMBEA KUJENGA RELI UJUE KILE KILICHO SABABISHA RELI YA KENYA KUKWAMA NI HII RELI YETU SASA TUKIZEMBEA NA KUSABABISHA SGR YA KENYA KUUNGANISHA NCHI ZA MAZIWA MA KUU NDIYO UTAKUWA MWISHO WA UCHUMI WA TZ, MAWAZO YAKO NI SAWA SAWA NA KUSEMA BOMBA LA MAFUTA LA UGANDA LIPITIE KENYA KAMA MIPANGO ILIVYOKUWA ZAMANI KISHA USEME TZ NDIYO TUTANUFAIKA ZAIDI KWA BOMBA KUPITISHWA KENYA ,HII NDIYO SABABU HIYO MIRADI INAITWA YA KIMIKAKATI
 
Ujui sgr ya kenya ilikuwa inajengwa kwa mikakati gani? Nakwanini imekwama kufikia hiyo mikakati ,
 
Akilindogosana
 
Hizo ni hisia zenu tu. Kama woga na sababu ndiyo hiyo bunge na wananchi wangeshirikishwa juu ya hofu hiyo ili wote kwa pamoja tuchague route ya kipaumbele na namna ya kufanikisha ujenzi wake. Kenya wamekopa Kenya kujenga SGR, wako wazi kwa wananchi wao, sisi hapa tulikuwa tunadangAnywa eti tunajenga kwa hela yetu kumbe tunakopa. Umeongea ushuzi mtupu. Reli ingejengwa kuelekea kigoma na kujenga dry pot kubwa pale Tabora mizigo ya kanda ya Kati na ziwa Na ile ya kigoma, burundi, DRC na Rwanda ingeenda kwa meli ziwani tungekuwa tumepiga ndege wengi kwa jiwe moja. Maana scarcity makes economy, shida yetu ni hela hatuna na nchi yetu ni Kubwa sana yenye majeshi mengi,polisi wengi, watumishi wengi, shule nyingi, hospital nyingi, Barabara nyingi. Huwezi ku freeze vyote hivi kwaajili ya kujenga SGR inayokwenda mwanza ambako Tayari kuna usafiri wa Reli YA KATI, BARABARA NZURI, NA NDEGE KUTOKA DAR ES SALAAM NA TABORA. INGEKUWA TU KUIMARISHA RELI YA KATI KUTOKA TABORA KWENDA MWANZA NA IKIWEZEKANA IFIKE ISAKA KWA KUWA TAYARI IPO, AU TUNATAKA RELI YA KATI IFE KABISA?
 
Lengo la magufuli ilikuwa ni kupeleka sgr usukumani nyengine zote ni geresha tu kama ni uchumi basi train kwanza ingepelekwa kigoma co mwanza sawa sawa na uwanja wa ndege kupelekwa chato.
Yaani kanda ya ziwa uilinganishe na kivu Congo na kigoma? Kigoma kama buhongwa tu!
 
Nchi lazima iwe na watu madhubuti wa mipango (think tank) wa kuendesha nchi sio watu reactive na kukurupuka eti kwakuwa Kenya wanajenga SGR, Rwanda wamenunua ndege na sisi tununue, Uganda sijui ina mizinga ya masafa marefu na sisi tukanunue hata kwa kula manyasi, Rwanda ni wasafi na sisi TuNafukuzA wamachinga.
 
Kwani wewe hujui kuwa sgr ilikuwa tujengewe na wachina tena kwa pesa ndefu ya kifisadi tena sgr isiyokuwa ya umeme toka kipindi cha kikwete au ujui ilo
 
Propaganda zipo za aina mbili za kizarendo na za kihuni ,pia kuhusu wapi reli ielekee hapo umeonyesha uwezo wako wa akili ulivyo mdogo reli inatakiwa iendelee kujengwa kuelekea kote kote rwanda burundi uganda drc zambia malawi na ndani ya tanzania tunatakiwa tujenge matawi kuelekea mikoa yote hivyo popote itakapo anzia siyo mwisho ,hapo ilitakiwa mama sa100 aonyeshe uwezo wake kwa kuipeleka maeneo mengi zaidi ya mipango ya jpm ila tatizo mama ni kilaza
 
Hivi wewe mikutano ya maraisi wa hizo nchi walipo kuwa wanakuja tz kuhusu sgr ukuisikia au wewe unawapangia nchi jirani kile wanataka ,wao wanataka sgr ifike mpaka kwenye nchi zao wewe unaleta habari za kigoma
 
Kama treni ya Tazara inapita kwenye pori la sao hill lkn watu wanatumia magari kusafirimba mbao zao wanaleta bugurun ambapo pia jiran ndipo station ya treni ilipo.. sahau kuhusu watu kutumia usafiri huo
 
Pia ujui mwanza kuna mizigo ya uganda hapo au ujui pia kama nilivyo kuambia hiyo reli inatakiwa kwenda hadi kigoma na bukoba na nchi za jirani sasa kinacho takiwa ni michakato tu hukonkote itafika
 
Tuambie mipango wa kujenga sgr ulianza kwa magufuli au kikwete acha upumbavu watu wapumbavu kama nyinyi ndiyo mtakao mkwamisha mama
 
Mkuu hii SGR initially ilikuwa ijengwe Dar to Kigoma, baadae ghafla ikageuzwa kuelekea katikati ya Kitovu kipya cha utalii.
 
Mimi nilishajichimbia kisima changu, weka tank kubwa la kupandishia na kuhufadhi maji hiyo shida nimeachana nayo. Kama for 60 yrs bado maji kwenye majiji ni longolongo nyiingii unadhani Kuna kitu hapoo?
 
Kwani wewe mal*ya ujui kuwa sgr ilikuwa tujengewe na wachina tena kwa pesa ndefu ya kifisadi tena sgr isiyokuwa ya umeme toka kipindi cha kikwete au ujui ilo
Kwa hiyo jpm alikuwa anaijenga SGR kwa pesa zetu wenyewe? Jibu hilo mwehu. Je, unafahamu kuwa nchi ilikopa sana kipindi chake? Je, unafahamu kuwa nchi ilifilisika hata mishahara ya watumishi ilikuwa ngumu kulipa? KAKOJOE ULALE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…