Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni

Huo uwanja hata msaada wa hao waarabu hauwezi kuujenga. Kwa maslahi labda wacheze wabunge tu hapo. Ccm waboreshe jamhuri. Uwanja wa Taifa uwe mdogo tu hapo Dom maana hata mwamko wa michezo uko chini sana.
 
Watanzania hasa wa ccm ni vigumu sana kuwaelewa na haijulikana akili zao zimejifungia wapi, hivi makosa yaliyotokea kwenye uwanja wa Tabora ina maana hatuyaoni!? Kwamba uwanja umejengwa na haijulikani kama uliisha au haukuisha!
Ukitaka kujenga nyumba kwanza unaangalia idadi ya wanafamilia watakaoishi humo au wageni watarajiwa au matumizui yake. Huwezi kwenda kwenye mji kama Chalinze ukajenga hotel ya vyumba 200 ukategemea kufikia hayo matumizi.
Sasa mji wa Dodoma kuwa na uwanja wenye capacity kama hii si kutegemea kuujaza siku moja tu kwa mwaka kwa ajili ya sherehe za sijui muungano wakati tukiambiwa ni kwa ajili ya michezo ...hiyo ni kufikiri kiuchumi na kiuhalisia kweli!?
 
Huo uwanja hata msaada wa hao waarabu hauwezi kuujenga. Kwa maslahi labda wacheze wabunge tu hapo. Ccm waboreshe jamhuri. Uwanja wa Taifa uwe mdogo tu hapo Dom maana hata mwamko wa michezo uko chini sana.
,,1,1,f,.,,!,!,,!!!,!-,
Huo uwanja hata msaada wa hao waarabu hauwezi kuujenga. Kwa maslahi labda wacheze wabunge tu hapo. Ccm waboreshe jamhuri. Uwanja wa Taifa uwe mdogo tu hapo Dom maana hata mwamko wa michezo uko chini sana.
 
After short term baada ya ufunguzi, utasikia UWANJA WA CCM DODOMA.
 
Kwa hilo hongera president uzungukwe na frem za maduka kuongeza mapato ya uwanja km ulivo kirumba na sokoine mbeya
 
Izo picha ulizoweza na chini yake ukaandika "mwonekano wa kiwanja kipya kitakachojengwa Dodoma" sio za kweli. Huo ni uwanja wa Olympic wa Ujerumani.
Acheni kuwalisha wasiojua matango pori. Refer hiyo link apo chini, huo uwanja ulijengwa toka 1936...
Redirect Notice
 
Huo uwanja hata msaada wa hao waarabu hauwezi kuujenga. Kwa maslahi labda wacheze wabunge tu hapo. Ccm waboreshe jamhuri. Uwanja wa Taifa uwe mdogo tu hapo Dom maana hata mwamko wa michezo uko chini sana.
Viwanja vingi Tanzania vipo chini ya ccm

Kwahiyo huo jamhuri ukikarabatiwa ,mapato na usimamizi utakuwa wa ccm

Kiwanja kipya kiwe cha serikali
 
Hamna jema nyie, Lema akipewa msaada wa hospital ni neema, ila Tz ikipewa msaada wa uwanja kosa, unafiki wa kitanzania ni wa kuweka kwenye makumbusho kabisa.
kiongozi unafananisha uwanja na hospital kuna tofauti kubwa sana
 
Ninakiwanja changu apo nane nane. Itabidi nijenge gesti. Kwann hauitwi uwanja wa taifa?
 
Hamna jema nyie, Lema akipewa msaada wa hospital ni neema, ila Tz ikipewa msaada wa uwanja kosa, unafiki wa kitanzania ni wa kuweka kwenye makumbusho kabisa.
Mkubwa alisema hahitaji misaada au sivyo
 
Utaingiza watu laki na ishirini yaani mkubwa kama ile ya Marekani Wanayochezea American Football Safi sana
 
Mkuu huu uwanja ni Olympic stadium upo Berlin Germany, hii taarifa mbona kama ina walakini ndani yake?

Maelezo na aina ya ramani ambayo umeweka ni tofauti kabisa. Ramani uliyoweka kwenye hii taarifa ni Ramani iliyokwishajengwa huko Germany.

Je na sisi tutajenga kama huu wa Olympic au?
 
From which source did you capture such a rumous rafiki. Isije ikawa kutupotezea muda na bando tu......!!!
 
Pengine ili timu ya CDA itaibuka tena , timu tishio iliyokuwa na magwiji wa soka km Mhando Mdeve, Shabani Katwila, Justin Simfukwe, Willy Chiwango, Charles Mgodo na wengine wengi....ama kweli kila zama na watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…