T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Msongamano upo kwenye barabara. Ukisema Tazara kuna foleni, je ni barabara ya kwenda Mbagala au Mnazi Mmoja. Badala yake unasema Nyerere road kuna foleni au Mandela road kuna foleni, kama ni kipande fulani tu cha barabara napo inatajwa.Ifikie hatua, maneno kama nyerere road , mandela road , yafikie hatua yasitumike katika kadamnasi. Yanachanganya . Watu tutaje sehemu husika, mikocheni, sinza , tazara, salender bridge makutano flani na kuendelea, hayo road kuitwa jina tuwaachie wazee wa 80 kwenda nyuma.
Wapi ambao hawadeki mkuuIla huo mkoa wanaume mnadeka sana aiseeee....π
Aaah lichekeche wewe ukija tuu utoe taarfa wwnyeji tupo[emoji1787][emoji109]Ngoja kwanza mkuu, kuna lishangazi la daslam nalizoza kwanza hadi likubali ndio nitakuja mkuu...[emoji4]
Tumia diversion.Ukisema utegee sikio la ulalamishi la Mtanzania hakuna kitu utafanya.Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi...
Majinga sana hayo mawatu ya huko,mengi yamenenepeana hovyo mitumbo kama manguruwe yenye mimba π€ͺπ€ͺIla huo mkoa wanaume mnadeka sana aiseeee....π
Hii inaanza linHujakutana na
Sam nujoma road ubungo to mwenge
Kawawa road magomen to Morroc...
Sidhan mwendkas km zitapita uko..... Ila anadai nyerere road kakutana na foleniHii inaanza lin
Huku Ibologelo hakuna hizo drama aiseeee...πWapi ambao hawadeki mkuu
Hahahaha π Sawa mkuu karibia Nkinga hapaHuku Ibologelo hakuna hizo drama aiseeee...π
ππ Mkiwa hamna uwezo wa kuishi dar ndio maneno yenu yaliyobaki , huu ni wivu Yani hiyo kero we unaona kudeka shenzi kabisaππIla huo mkoa wanaume mnadeka sana aiseeee....π
Mbona huoneshi hiyo diversion ni ipi: hujaelewa swaliTumia diversion.Ukisema utegee sikio la ulalamishi la Mtanzania hakuna kitu utafanya.