T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Msongamano upo kwenye barabara. Ukisema Tazara kuna foleni, je ni barabara ya kwenda Mbagala au Mnazi Mmoja. Badala yake unasema Nyerere road kuna foleni au Mandela road kuna foleni, kama ni kipande fulani tu cha barabara napo inatajwa.Ifikie hatua, maneno kama nyerere road , mandela road , yafikie hatua yasitumike katika kadamnasi. Yanachanganya . Watu tutaje sehemu husika, mikocheni, sinza , tazara, salender bridge makutano flani na kuendelea, hayo road kuitwa jina tuwaachie wazee wa 80 kwenda nyuma.