Ujenzi wa wa njia ya mabasi ya Mwendokasi barabara ya Nyerere unasababisha kero ya foleni

Ujenzi wa wa njia ya mabasi ya Mwendokasi barabara ya Nyerere unasababisha kero ya foleni

Ifikie hatua, maneno kama nyerere road , mandela road , yafikie hatua yasitumike katika kadamnasi. Yanachanganya . Watu tutaje sehemu husika, mikocheni, sinza , tazara, salender bridge makutano flani na kuendelea, hayo road kuitwa jina tuwaachie wazee wa 80 kwenda nyuma.
Msongamano upo kwenye barabara. Ukisema Tazara kuna foleni, je ni barabara ya kwenda Mbagala au Mnazi Mmoja. Badala yake unasema Nyerere road kuna foleni au Mandela road kuna foleni, kama ni kipande fulani tu cha barabara napo inatajwa.
 
Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi...
Tumia diversion.Ukisema utegee sikio la ulalamishi la Mtanzania hakuna kitu utafanya.
 
Ila huo mkoa wanaume mnadeka sana aiseeee....😂
😂😂 Mkiwa hamna uwezo wa kuishi dar ndio maneno yenu yaliyobaki , huu ni wivu Yani hiyo kero we unaona kudeka shenzi kabisa😂😂
 
Back
Top Bottom