zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbona yupo Barca ila wametolewa UCL mara mbili mfululizo hatua ya makundi. Tunawakuza tu ila akikutana na team serious anapigwa nyingi tuHawa Spain
Ukiwaangalia wanavyocheza unaweza kudhani ball ya kampa kampa tena ni Rahisi sana
Enewei kwa sisi vizazi vya Samia ambao hatukuwahi kumshuhudia Iniesta nadhani miungu ya mpira imeona ituletee huyu dogo Pedri
Kuna utofauti kati ya EPL na World CupMbona EPL wanavaa armband kuonyesha support kwa LGBT ila bado mnafuatilia mechi zao. Tuacheni double standards kama mko serious mnachukizwa na msimamo wao then muache kuangalia EPL, UCL, Euros au movie zote za Hollywood
Ahahaaaa Kiko wapi kiburi Chao na mbwembwe zao Sasa wakafirane kwao ukoUnaenda kumuudhi mtu nyumbani kwake, lazima uwe na taahira ya akili
View attachment 2429456View attachment 2429457
Hizo ni tamaduni za kiafrika, kwani ulishawahi ona waafrika wanaforce hizo tamaduni zinafanyike worldwide kuleta usawa? Ushoga ni tamaduni za hao wazungu wasilazimishe ziwe kwa woteNyie mnaosapoti mizimu, uganga na uchawi kisha Ijumaa na Jumapili kuingia nyumba za Ibada mko nafasi ya ngapi?
Sisapoti ushoga, ila nakemea unafiki
Hujui hata hesabu ya point!Wenzake hao wenye nne nne ni akina nani?Mechi ya mwisho Ni Spain vs Japan, Germany vs Costa Rica!Inafikaje wakati anashika mkia kwa point moja wakati wenzio wote Wana point nne nne
Kiarusha tunasema, imeisha hyo "
Mpaka wageuka kuwa kinyesiAhahaaaa Kiko wapi kiburi Chao na mbwembwe zao Sasa wakafirane kwao uko
Hahahha mkuu ni sawa na kusema kuku wa kukaanga ni tofauti na kuku wa kuchoma!!Kuna utofauti kati ya EPL na World Cup
Ebu angalia vizuri!Inafikaje wakati anashika mkia kwa point moja wakati wenzio wote Wana point nne nne
Kiarusha tunasema, imeisha hyo "
Unajua kwenye kundi Zinapita timu ngapi? Mpira umevamiwa aisee!Kumpita Espn yahitaji muujiza jamaa ana point 4 na mechi ijayo kamwe hawezi kufungwa na Jpn hata akifungwa atabaki na point 4 na goli 8 je German atampiga Costarica goli 8 ili ampite Espn? Tusubiri
Yes ! Watu tunaishi na kusavaivu na beliefs ambazo haziko proved for billions of years,tunakuwa subjective mno ,yaani mtu ubongo wake ama chatting,or all committee going on his mind tunadhani kuwa wao jamaa wako sahihi wanavyokuwaga wanaongea kichwani mwetu.Mpira ulivyokuwa mchezo wa ajabu utashangaa Ujerumani ndie timu itayofika mbali kuliko timu zote za kundi lake ulizozitaja.
Qatar wametoka pia nao ni tabia yao?Haya machoko yatolewe tu ili yakatifuane mitaro huko kwao.
Msimamo huu ungesambaa mpaka kwa jamaa zao walioko Pate, Lamu, Mombasa na visiwa vingine vya karibu na Tangawaarabu wakawakatalia kutua katika uwanja wao waondoke wakabadili nguo na jezi zao pamoja na kubadili ndege Yao yenye alama za kusapoti ushoga ndipo wakatii amri.