Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha

Msimamo huu ungesambaa mpaka kwa jamaa zao walioko Pate, Lamu, Mombasa na visiwa vingine vya karibu na Tanga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanafika ukooo msimamo Ni kwamba ushoga Ni upumbavu hvyo hakn namna ya kuipromoti ktk nchi ya Qatar
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseee umenikumbusha mbali Sana nimekumbuka Hilo sakata mkuu Hadi ozil akahama nnchi na kuamia uturuki nadhani rais wa uturuki recep typu edorgan alimuita
 
Hao ni ma-hostadh haikua rahisi kwao wamekutana na mipini,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah umekamatwaaaaaa, wao ndo mashoga wazoefu, ndo maan wametolewa mapemaaaaaaa.

Takbriiiiiiiiiiiiiiiiiiih!!!!
 
German hawawezi beba kombe hili lzm atafurushwa virago mapema Sana je unakumbuka kilichompata Russian mbele ya Korea kina son ndio hicho hicho
 
Nyie mnaosapoti mizimu, uganga na uchawi kisha Ijumaa na Jumapili kuingia nyumba za Ibada mko nafasi ya ngapi?

Sisapoti ushoga, ila nakemea unafiki
Kwani kuna nchi duniani hawabudu mizimu?wala hawana uchawi? Tatizo lako ni unasapport ushoga ila unataka kujificha hivyo umetafuta sababu ya kuwananga wanaopinga ili kujiridhisha
 
Kwani kuna nchi duniani hawabudu mizimu?wala hawana uchawi? Tatizo lako ni unasapport ushoga ila unataka kujificha hivyo umetafuta sababu ya kuwananga wanaopinga ili kujiridhisha
Sandali Alli s shoga tu hkn kupepesa macho [emoji23]
 
German hawawezi beba kombe hili lzm atafurushwa virago mapema Sana je unakumbuka kilichompata Russian mbele ya Korea kina son ndio hicho hicho
Lengo langu lilikuwa Ni kuongelea beliefs kuwa sio kanuni Ila Ni mawazo na mawazo yetu Ni watu wengi wanaongea na kutushauri huko kichwani ,yaani Ni Kama kuwa Kuna mkutano inafanyika na sie ndio chairman of committee board.
 
Watanzania ni watu wajinga mnoo,kati ya matatizo lukuki mliyo nayo..ushoga ndo tatizo pekee linalo wasumbua? Kila siku mada zenu ni ushoga tu..pambaneni kwanza na Maradhi,ujinga pamoja na Umaskini.
Usituchagulie matatizo ya kuanza nayo,sisi tunakemea ushoga,wewe endelea na hayo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…