N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Russia ana akili sana. Kitu watu wasichokielewa ni kwamba Urusi anachokifanya sasa hivi ni kudhoofisha sarafu ya dola ya Marekani na washirika wake ambayo ndiyo hasa imekuwa inawapa KIBURI waMagharibi.....Dolarisation imewezekana kwa zaidi ya miaka 50 sasa kwa sababu Marekani aliingia makubaliano na wazalishaji wakubwa wa Mafuta duniani kwamba mafuta yanunuliwe kwa dola pekee.....sasa kinachotokea hivi sasa Urusi anataka avunje hiyo sera ya kuifanya DOLA kuwa sarafu inayotawala.
Kinachotokea ni kwamba MAFUTA na GESI ni bidhaa kinara kwa kuuzwa duniani hivi sasa...hivyo basi...Urusi kama MZALISHAJI MKUBWA NAMBA TATU wa mafuta duniani anaelewa kabisa na AMEPANGA kwamba hawa jamaa awatikise kwa kuigomea DOLA ili sarafu yake ipate nguvu.
PIA kumwondoa Urusi kwenye mfumo wa kifedha kimataifa wa SWIFT ambao upo chini ya Marekani na Washirika wake kunamfanya URUSI aujenge na kuuongeza nguvu mfumo wake wa kibenki uitwao Sistema peredachi finansovykh soobscheniy,(SPFS)utakaowezesha biashara ya kimataifa kwa Urusi kuongezeka mara dufu na hivyo kumpa nguvu zaidi za kiuchumi huku sarafu yake Ruble ikipata nguvu zaidi kwa kuwa Urusi atafanya biashara na wanunuzi wakubwa waliopo Asia yaani China, India, Iran nchi za Arabia nakadhalika.
Nachokiona ni kwamba Nchi za Magharibi pamoja na Marekani wanajaribu kumgomea URUSI wasinunue bidhaa kwa sarafu ya URUSI kwa kuwa wanafahamu fika wakinunua kwa kutumia RUBLE basi ubabe wa sarafu yao ya kimkakati ambayo ndo inawapa KIBURI yaani USD utaisha hivyo ushawishi wao wa kiuchumi utashuka....................URUSI amekuja KUBALANSI SHOBO za wamagharibi hii ni nzuri sana...KWENYE HILI SAGA West watasanda tu.........Urusi ataendelea kutrade na Uchina na mambo yatakuwamukide tu. Hebu ona hapo hiyo grafu nani anatrade zaidi na Urusi kwenye bidhaa yake kubwa ya nishati, kisha utagundua hao Ulaya hawamtishi Mwamba hata kiduchu....