Unaongelea gesi kama Mchanga? Gesi ni kitu Kina demand Dunia nzima, itauzwa India, China, Tanzania na kwengineko.
Ulaya wanamuhitaji Urusi kuliko Urusi anavyomuhitaji ulaya.
Na Urusi ameshasign deal na India, Mrusi atamlipa India kupitia Rupia na India atamlipa Urusi kupitia Ruble hakuna Dollar wala Euro itakayotumika.
Hivyo long term USA na Washirika wake pia wataumia.
Hapa Tunapochat Tayari Japan imepigika vibaya mno Yen Inashuka kwa kasi, sarafu ambayo kwa miaka zaidi ya mitano ilikua stable.
Same kwa wengine waliotajwa na Putin kama Bulgaria hela zao zimashuka Thamani.