Sasa Tanzania ina raha gani kuishinda Ujerumani wakati ndizo "Shithole" countries zenyewe. Wewe hata hujui unachoongea ndio wale wale wa kwenye vijiwe vya tangawizi.Ndo shida ya kuingilia ugomvi usiokuhusu.
Hivi ujerumani alkua na ugomvi gan na RUSSIA mpk nae ashiriki kumpiga SANCTIONS.
Angalia Sasa wajerumani wanaishi kwa tabu kwasababu ya viongzi wao kua vibaraka wa USA na kupelekeshwa ovyo.
Pongezi kwa TANZANIA kutokufungamana upande wowote, japo kias chake tunaathirika[emoji4][emoji106]
Putin alijipangaje? Hujui kwamba hili swala litawaumiza Ulaya in short-term but in long-term Urusi ndio atakiona cha moto maana wataacha kununua gas yake mazima.View attachment 2170197
Watu wengi humu wamekariri kwamba ulaya wasiponunua mali yako umekwisha nawashauri waifuatilie dunia inavyozunguka US ilipositisha ununuz mafuta ghafi toka urusi India imeshakubali kuyachukua hayo mafuta na China ataichukua gas yote itakayokataliwa ulaya, maisha yanaenda kasi sana pamoja na kwamba hapo mwanzo watu walikataa kwamba ulaya hali imeanza kuwa ngumu lakini sasa hivi imedhihirika lakini bado pro US & co. wanakubali ila wanasema baadae Putin Aataumia sana tena wanasema in a long run ni vile wengi hawana taarifa za miaka ya nyuma juu ya RussiaWewe unadhani Ulaya hawakujua hili la Gas na mafuta kuwa litawapa shida kwa muda fulani but in long run watakuwa wamejiondoa kwenye utumwa wa Gas ya Russia? Kwanza hata leo wakiamua kupata mbadala wanao ambao ni Makaa ya Mawe halafu tuone hiyo Gas Urusi atamuuzia nani.
Watu wengi humu wamekariri kwamba ulaya wasiponunua mali yako umekwisha nawashauri waifuatilie dunia inavyozunguka US ilipositisha ununuz mafuta ghafi toka urusi India imeshakubali kuyachukua hayo mafuta na China ataichukua gas yote itakayokataliwa ulaya, maisha yanaenda kasi sana pamoja na kwamba hapo mwanzo watu walikataa kwamba ulaya hali imeanza kuwa ngumu lakini sasa hivi imedhihirika lakini bado pro US & co. wanakubali ila wanasema baadae Putin Aataumia sana tena wanasema in a long run ni vile wengi hawana taarifa za miaka ya nyuma juu ya Russia
Nasikia US wana mbadilisha bacteria aitwae Theomargaritha namibiensis kuwa gene specific kuozesha gas ya Urusi ili urusi wakome mi nitawaongezea na mwingine aitwa Restricteda rumbwegesiensisWaambie ges haiozi
Ujerumani imeingizwa cha kike na USAUjerumani imetangaza rasmi kuanza kutoa gesi kwa watu wake kwa mgao, huku kukiwepo wasiwasi ya kuacha kuagiza mafuta kutoka Russia.
Hatua hiyo imechukuliwa wakati kuna hali ya kutoelewana kuhusu malipo kwa kutumia sarafu ya Russia.
Hatua ya umoja wa ulaya kuanza kutekeleza onyo la mapema la uwezekano wa kutokea uhaba wa gesi, ni ishara ya moja kwa moja ya kutokea uhaba wa mafuta kutokana na uvamizi wa Russia nchini Ukraine.
Waziri wa uchumi wa Ujerumani Robert Habeck, ameambia waandishi wa habari kwamba chumba cha dharura kitaundwa ndani ya wizara hiyo, akiongezea kwamba timu itakayosimamia swala hilo itahusisha wanachama kutoka kwa wizara hiyo, wasimamizi wa mafuta nchini humo na wadau kutoka sekta binafsi.
Katika hatua inayoonekana kama juhudi za kuimarisha sarafu yake ambayo inaendelea kupoteza thamani, Russia imesema kwamba itaweka mikakati ifikapo March 31, ambapo nchi ambazo zimetajwa kwamba sio rafiki, zile ambazo zimeiwekea vikwazo, zitalipia gesi yake kwa kutumia sarafu ya Russia na wala sio Euri wala dola ya Marekani.
Moscow inatarajiwa kuzindua kanuni mpya kuhusu malipo ya gesi kesho alhamisi.
Kremlin imesisitiza kuhusu mfumo kwa malipo ya gesi kwa umoja wa ulaya, baada ya mawaziri kutoka nchi 7 tajiri duniani kutaja mpangilio huo kuwa usiokubalika.
Uvamizi wa Ukraine imepelekea Russia kuwekewa vikwazo kadhaa na kupelekea sarafu yake kushuka kwa thamani huku Ulaya ikisitisha uagizaji wa mafuta na gesi kutoka Russia.
VOA Swahili
Unadhani ni rahisi hivyo? Acha kuwaza kama mtoto mdogo.Wewe unadhani Ulaya hawakujua hili la Gas na mafuta kuwa litawapa shida kwa muda fulani but in long run watakuwa wamejiondoa kwenye utumwa wa Gas ya Russia? Kwanza hata leo wakiamua kupata mbadala wanao ambao ni Makaa ya Mawe halafu tuone hiyo Gas Urusi atamuuzia nani.
SASA KAMA HAWAPEWI BURE,SI WANUNUEKivip yaani Kwan Russia inawapa ulaya gesi na mafuta bure sababu umecomment as if anawapaga ulaya gesi na mafuta bure
Unachafua michango ya watu kwa kihoja kilekile. Halafu umeandika kama vile Russia ndiye aliyeanza league ya vikwazo.Kwa urussi anampa gesi bure kwamba ulaya akigoma yeye urussi hati hasara unajua revenue urussi atakayopoteza kama ulaya wakigoma kununua gesi na mafuta kutoka urusi uingeongea unachoongea
Mbona urussi ameongeza deadline kama kweli anajiamin si alisema tarehe moja ndo mwisho mbona ameongeza deadlineSASA KAMA HAWAPEWI BURE,SI WANUNUE
Na wewe punguza mahaba kwa Russia na Putin hili ni jukwaa huru, kama wewe ulivyokua na uhuru wa kuwa upande wa Putin na mim pia Nina uhuru wa kuchagua upandeUnachafua michango ya watu kwa kihoja kilekile. Halafu umeandika kama vile Russia ndiye aliyeanza league ya vikwazo.
Yeye kajibu kubalance athari. Punguza mahaba yako kwa wamagharibi ili uone uhalisia wa mambo.
Wateja hawakosekani,je utawauzia kwa bei na kiwango kikubwa kama kile ulichokuwa unauza Ulaya na vipi kuhusu miundombinu hizo gharama za kujenga miundombinu mipya atagharamia nani?
Utasafirisha kwa kiwango gani na kwa muda upi huo ili kusiwe na shortage kwenye soko? Na ujue Marekani ana Gas na mafuta ila kuisafirisha kiwango cha kuhimili mahitaji ya soko la Ulaya ndio changamoto kubwa.Gas inasafirishwa hata kwa meli au hujui mkuu
Aikambe.Sasa hivi kama una pesa ya madafu umeifungia ndani unaenda kuchange kwa Ruble tu halafu unatulia zako kusikilizia mshindo mkuu.
Shida ni kuipata hio Ruble kwenye hizi bank na bureau zetu.
Duuuh...! Ndiyo pro USA na EU watambue ile tafsiri ya ecosystem si katika biology tu bali hata kiuchumi duniani tunaitumia bila kupenda [emoji6][emoji28]Makaa Ya mawe pia Ulaya Wanamtegemea Urusi kama hufahamu. Russia ni Nchi ya Pili duniani baada ya US kwa Makaa ya Mawe.
Watu wakimya ni hatari sana Mzee Baba, tena waogope mno kuwazingua maana wakibadilika huwa hawarudi nyuma kimsimamo.Alafu shida ya Putin ni mkimya sana anaongea kwa vitendo zaidi kuliko maneno hataki shobo na mtu.
Ama kwanini USA alikimbilia Venezuela kuongea na Rais wake amuuzie gesi [emoji848] mahaba ni utumwa mbaya sana na nauchukia mno maana unaweza kukutoa akili hata kukutesa na kukupatia BP, vidonda vya tumbo, msongamano wa mawazo hadi ukagongwa na gari, mshtuko wa ubongo hadi ukaparalaizi mwili mzimaWewe unafikiria kweli, gesi itakosa wateja? Urusi akishusha bei kama alivyofanya atapata wateja wengi, india na china zinaweza kua substitute nzuri tu. Ndio maana USA kaanza kumpiga mkwara India.