Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

Kwenye makaratasi uliona waliandika nini? Mondi sio mjinga kugoma,mpaka unamuona amegoma ana uhakika sheria ipo upande wake hata akipelekwa kudaiwa fidia anapo pakusimamia. Time is money kama hawaja zingatia mda basi hilo ni swala lao.
 
Na mimi nilitaka kushangaa eti ulilie kuanza sababu ni mkubwa wakati ni kinyume chake. Lakini ratiba inafuata muda na siyo foleni. Kama muda wa Diamond kupanda ulifika alikuwa sahihi kutaka kupanda.
 

Na kama unavojua Diamond akipanda anakiwasha kweli ila akiondoka tu anasepa na kijiji, Hapo willy angebaki na maspika tu! Ndomana akajihami mapemaa, chakufia nini
 
tatizo media za kenya na waandaa matamasha wanadharau wasanii wao hawawapi kipaumbele. ana hoja lakini haikua platform sahihi.
 
Huyo Willy Paul ni mpuuzi kama wapuuuzi wengine. Anayewadharau na kutowapa kipaumbele wasanii wa Kenya ni nani? Apambane na hali yake!!
 
Fateni ratiba, clear and simple... acheni kutetea ujinga.... watanzania tunapenda ujinga ujinga eti anampa heshima kupeform mwisho, si angemwambia promoter mapema ampange willy paul mwisho
 
Cheap talk.

Mbona huwa mnajifanya rational sana kwenye mijadala mingine

Kubalini tu, wasanii wa tz ni wakubwa kuliko wenu

It's not that hard to see...
Haya wakubwa ndo maana wakakutana na pididi kwani kuna shida.....endeleeni kukutana na wakina pididi wengine na ukubwa wenu.......haya mwenye expensive talk kwa msaada wa watu wa upinde
 
tatizo media za kenya na waandaa matamasha wanadharau wasanii wao hawawapi kipaumbele. ana hoja lakini haikua platform sahihi.
Hana hoja, muziki ni biashara. Hao si wanasema kuwa ni watu wa biashara?
Sasa radio ipige nyimbo za Willy Paul, iache za Diamond? Wakati watoto wa Nairobi wanaimba nyimbo za jay Melody neno kwa neno?
Hawawezi kuacha kumsikiliza Diamond, wamsikilize Willy Paul. Hiyo siyo biashara.
Let's compete, acheni regulations.
 
Makenya mashamba sana hayo majitu
Na mamziki yanaimba kama yanatufokea

Halafu hao kina diamond wanaenda kufanya nini huko? Yaacheni yaimbe yenyewe na majitu yao huko huko

Pale Kenya anayejielewa ni bien tu mengine ya hovyo kama hilo limkikuyu.

Hawa jamaa wana wivu sana na sisi
 
Na mimi nilitaka kushangaa eti ulilie kuanza sababu ni mkubwa wakati ni kinyume chake. Lakini ratiba inafuata muda na siyo foleni. Kama muda wa Diamond kupanda ulifika alikuwa sahihi kutaka kupanda.
Kwa io willy paul nae muda wake wa kupanda ukifika asipande sio kisa diamond ni mkubwa kuliko yeye?
 
Katika watu nawachukia E.A hii ni wakenya jamaa wana wivu,chuki,ubinafsi na roho mbaya sana.

Mimi siyo Shabiki wa Diamond ila jamaa ni msanii mkubwa kwa sasa huwezi kushindana nae kwa chuki na ukawa bora kuliko yeye, wawekeze kwenye mziki wao , huyo Willy Paul kwa huko kenya ni msanii mkubwa ila kwa hapa Tz ni underground tu
 
Mkuu umeweka chumvi za kutosha na pilipili zimezidi.

Ulichokiongea siyo kweli.
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…