Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

Shida dogo anawapiga mimba wa KENYA na kuwaacha na kukimbilia kwa Pdidy kumalizia movie.
 
Fateni ratiba, clear and simple... acheni kutetea ujinga.... watanzania tunapenda ujinga ujinga eti anampa heshima kupeform mwisho, si angemwambia promoter mapema ampange willy paul mwisho
Husikurupuke.... kasome ujumbe wa Sallam SK insta.... Willy Paul alianza vita mapema kuanzia kwa Zuchu... alimzibia Zuchu njia hasipande stejini, akapigwa kofi na body guard wa Diamond.... akaanza kuleta fujo.... swala la muda sio la Diamond, Diamond yeye alifuata muda uliopangwa, Wao ndio walichelewesha muda...

Diamond ana ratiba kibao, zamu yake kupanda stejini wanamletea ushamba... hata angekuwa Chris brown angeshuka, muulize Ali Kiba aliwahi kuzimiwa Mic pale Kenya kisa muda wa Chris Brown kuperform

Vitu vingine wakenya wanaleta Uke-nya...
 
Leta yako yenye ukweli... mimi nimekuwekea mpaka na video.... haya sema kipi sio cha kweli nikuletee uthibitisho
Nimeweka uzi kuhusu kikichotokea.
Tatizo siyo Diamond na huyo Willy Paul.

Waandaaji wa tamasha hawakuwa makini. Kuwasainisha mikataba wasanii ambayo ina matundu ndo matokeo yote hayo
 
Nimeweka uzi kuhusu kikichotokea.
Tatizo siyo Diamond na huyo Willy Paul.

Waandaaji wa tamasha hawakuwa makini. Kuwasainisha mikataba wasanii ambayo ina matundu ndo matokeo yote hayo
Sawa
 
Wakenya wataendelea kuwa mafala na mafukara hadi mwisho wa dahari
 
Haya wakubwa ndo maana wakakutana na pididi kwani kuna shida.....endeleeni kukutana na wakina pididi wengine na ukubwa wenu.......haya mwenye expensive talk kwa msaada wa watu wa upinde
Jitahidi kuficha uchi wa akili yako we mkikuyu. Hii inaonesha namna gani ugali ndio upo kichwani na sio akili.
 
Wewe una roho mbaya sana unafurahia anguko la diamond platinumz
 
Wabongo mnavyowashobokea wakenya ngoja tuone sasa. Maana utasikia wakenya wametuacha mbali tujifunze kwao, haya tuone sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…