Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

HUjaskosea kabisa.
Kllo ilikata siku ile,ila haijaniuma kwakua mambo yangu ya msingi yote yanakwenda na toka mwakajuzi baada ya zkle vuruga za maisha, niliapa kwamba sitakaa nijibane bane tena kuhusu suala langu la kujipa raha linapohusika. Cha kuzingatia tu ,nisi force kuharibu mambo mengine , na pesa nitakayotumia ninahakikisha mtu anaitumia pamoja na mimi sio kumpa tu.
Ujue toka nimepoteza nyumba, gari ,kiwanja , watoto na shughuli zangu kuyumbishwa sana na yule mama ex wife wangu, vitu ambavyo nilivipambania sana kwa kujibana na kijinyima ujanani mwangu halaf nikapoteza in a blink of an eye, honestly nikasema na kuapa moyoni "sitakuja kupoteza fursa tena ya khakikisha nafurahia maisha yangu kwakutumia pesa kwaajili yangu mwenyewe"
Dah, nimejifunza kitu

How life is going upande wa kids zako na mamao
 
Nikatoka nje, kwakua sikua na pesa na ilikua jumapili, nikampigia mshkaji wangu mmoja, "oya, nimepata dharura ya kiume, nitumie, 70,000 nitakuchek kesho", jamaa akacheka sana kisha akasababisha muamala nikachukua room kisha nikarudi restaurant pale, nikamwambia "ready" basi tukapanda ghorofani, ili "akapumzike".
Kila Mwanaume mtu mzima htabkam ni Baba Yako asikudanganye kwamba yeye Mungu hakumjalia Kipato, wala asikupige vizinga vya hapa na pale kwa sababu wewe ni Mwanae au wewe NI Ndugu yake.

Iko hivi kila Mwanaume kwenye maisha yake huwa ana Fursa ya kupata pesa iwe nyingi au ndogo lakini huwa ipo

Kinchowaponza Wanaume ni kupenda Starehe ya pombe, wanawake na kuhonga.

Angalia huyu hata pesa hana lakini anaingia madeni kwa mtu aliyekutana naye barabarani😂😂😂
 
Mkuu sasa ulitaka tukutane nao wapi tajiri?
Halaf sio kwamba sikua na pesa. Nilikosa access ya pesa. Hiyo 100k ninya kawaida tu boss mara moja moja wala hai athiri chochote.
 
Back
Top Bottom