Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Yaani hapo Ex-husband akigundua unakula kimbora cha maana akimlalamikia mama yake mwendo umeumaliza
Sasa hapo mama mtu inabidi angalau aonyeshe ushirikiano kunipambania huenda nikashawishika. Ex wake atakua ananionea tu kama miaka miwili yote kaacha mwanamke kwa talaka halaf asitake watu wamle
 
Sawa Sawa kitendo cha kukimbia mpaka kukopa wakati haikuwa kwenye mpango inaonesha huyo single Maza kashakuweka kwenye mfumo wake
Ahahahah..hapana mkuu, sikukopa, niliazima kwakua nisingeweza kupata huduma za ki bank jumapili. Kuna tofauti ya kukopa na kuazima
 
Mada kama hizi siku hizi zimepungua sana humu.

Mimi kama Ayatollah wa JF nawasihi vijana walete nyuzi kama hizi hata kama ni chai nasi tutazipokea.
Mkuu sio kila kitu chai.
Haya ona transaction hii niliopokea kwa mpesa toka crdb tarehe 4
Screenshot_20261008_115557_Messages.jpg

Kisha ona deposit hii niliorudisha kwa jamaa kesho yake tarehe 5 kuoitia crdb wakala
Screenshot_20261008_115743_Gallery.jpg

Sasa udanganywe ili afaidike nani tajairi?
 
Kama walipomaliza kula binti alifuta meza na viti ameisha mara tatu..!!😀
Daaahhh mkuu, katika ubaharia (japo wa kistaarabu) sijui ni kitu gani sijapitia. Na nina knowledge sana kuhsu hizi kona kona kiasi cha kunifanya niwe macho sana na mambo yanayohusu hizi kitu.
Umenikumbusha mara kadhaa kuondoka nyumbani kwa mwanamke na condoms zangu zenye sperms na kusafiri nazo nikatupe nakojua mimi kuliko kuacha mahala ambapo najua ni salama. Kama sio kuzi flus mwenyewe chooni, nimeshawahi kuzibeba nikafunga kwenye kifungashio na kwenda ku dump somewhere else kuliko kuachia mwanamke. So mpaka utu uzima huu nishafanya mambo mengi sana.
 
Mkuu sio kila kitu chai.
Haya ona transaction hii niliopokea kwa mpesa toka crdb tarehe 4
View attachment 3686664
Kisha ona deposit hii niliorudisha kwa jamaa kesho yake tarehe 5 kuoitia crdb wakala
View attachment 3686666
Sasa udanganywe ili afaidike nani tajairi?
Mkuu, sijasema umeleta chai. Nimesema mada kama hizi zimekuwa chache mno siku hizi, ni mada nzuri na tunaomba vijana wazilete kwa wingi hata kama ni chai sisi bila tatizo tutainywa tu!

Huu uzi wako sina doubt nao kabisa.
 
Back
Top Bottom