Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Dah, nimejifunza kitu

How life is going upande wa kids zako na mamao
 
Kila Mwanaume mtu mzima htabkam ni Baba Yako asikudanganye kwamba yeye Mungu hakumjalia Kipato, wala asikupige vizinga vya hapa na pale kwa sababu wewe ni Mwanae au wewe NI Ndugu yake.

Iko hivi kila Mwanaume kwenye maisha yake huwa ana Fursa ya kupata pesa iwe nyingi au ndogo lakini huwa ipo

Kinchowaponza Wanaume ni kupenda Starehe ya pombe, wanawake na kuhonga.

Angalia huyu hata pesa hana lakini anaingia madeni kwa mtu aliyekutana naye barabarani😂😂😂
 
Mkuu sasa ulitaka tukutane nao wapi tajiri?
Halaf sio kwamba sikua na pesa. Nilikosa access ya pesa. Hiyo 100k ninya kawaida tu boss mara moja moja wala hai athiri chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…