Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Hii tabia mnayo watu wengi.
Mtu anakutumia hela ukiirudisha unairudisha kavu bila kuweka hela ya kutolea au makato aliyotumia.

Ulitaka 70k, mchakato aloutumia hiyo hela kukufikia ni zaidi ya 70k ulipaswa kumrudishia 72k kishkaji.
Ahahahahahah.
Daahh dogo umesisitiza sana hili. Basi sawa tutayazingatia haya.
 
Aaaah mkuu, una uhakika ni suala la ukanda tu? Au ni suala la mtu tu?. Haya nishafanya kanda zote tanzania hii
Huo ukanda ni exceptional mkuu,kipindi flani mgololo huko,nlishawahi kuweka dogoli langu dukani lipate charge na halikuwa na password,yule dada wa duka akajipigia mwenyewe kupitia simu yangu,jioni akanicheki na kunambia alichukua namba yangu kiivyo,na mengineyo yakendelea!!!
 
Ulikula si ndy maana yake. Basi usijali mkuu wewe hapo Anza kufanya mazoezi ya kucheza na watoto wake tu nyumbani kwako ๐Ÿ˜‚
 
Unachezea mali ya Mwandulami.....
I hope haukutembelea ringi, Makambako nyoko
 
Huwezi kutuchosha na stori yako hii.
Labda unambie, 'mlipumzishana' kavu kavu?
Tuanzie hapo kwanza kabla sijaingiza ushauri wangu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ