Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

harakat zangu za kila siku izo, so many single mothers outta there and they're so fucking funny .!!
Yeah man for sure. Kuna mahali nilishawahi ku comment kwamba, hawa single mazas tutawa blast tu humu ila kwa ground ndio wanatawala game, kama maji vile kuwakwepa ni ngumu sana , cha msingi tu tuzingatie kuhusu umakini lisijitokeze suala la ndoa tu๐Ÿ˜‚
 
Hawezi na sidhani kama yumo humu, plus nimezingatia vigezo ku maintain anonymity.
Anonymity yako ni questionable...watoto wawili, makanbako, mganga...ghorofa, bajaji wake, saa 4 hadi mchana...kama haya yote ni ya uongo sawa ila kama ni kweli basi kishajijua
 
Anonymity yako ni questionable...watoto wawili, makanbako, mganga...ghorofa, bajaji wake, saa 4 hadi mchana...kama haya yote ni ya uongo sawa ila kama ni kweli basi kishajijua
Ahahah. Mkuu just understand kila kitu kimezingatiwa hapo. Kila kitu katika hayo unayosema.
 
Duh! Sijasoma yote....lakini kwa kifupi ,,,NG'OMBE WA MAZIWA HACHINJWI....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ