Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 5,058
- 22,676
Umebadili username mkuu? Yaani hilo sakata ulilielezea na username hii hii? Kuna yule wa talaka hadi mahakamani ndio wewe?Ahahahah. Nyuzi zipo humu mkuu
Umebadili username mkuu? Yaani hilo sakata ulilielezea na username hii hii? Kuna yule wa talaka hadi mahakamani ndio wewe?Ahahahah. Nyuzi zipo humu mkuu
Kumbe ni wewe security 🤣🤣🤣🤣🤣Aahhh my friend security, huyu was different kind of client. Hakuna shida kabisa😂
Kichwa kidogo kikisimama, kikubwa hakifanyi kazi.Wanaume mnawaka tamaa, una budget ya elfu 30 upo safarini lakini kuona kei ya bure hii hapa, ukaona uingie deni UKAKOPA ili utimize lengo lako..!! 😹😹
Ahahahahahaha..long time eeehh!!??Kumbe ni wewe security 🤣🤣🤣🤣🤣
Nilibadili username mkuu.Umebadili username mkuu? Yaani hilo sakata ulilielezea na username hii hii? Kuna yule wa talaka hadi mahakamani ndio wewe?
Yaani na hapo ukijidai mjanja unashtakiwa kwa mama😅Ndio naangalia hapa nisizidi kuyavagaa, nijitoe mapema
Hawa mkuu jitahidi tu kuwaelewa ila kwa ambao wameshapitia mbilinge za maisha ni kawaida kabisa kufikiri kama wewe. Kwamba kuna maisha mengine nje kutafuta pesa. Na sio kila kitu ni suala serious. Kuna maisha mengine kabisa nje ya kile watu wanakaririshwaHuwa sielewi kwanini mnaona maisha ni userious tu na usiwe na kutamani vitu vingine? Lissu anaingiaje hapa kwa kweli huwa sielewi baadhi ya wabongo mnaonaga wengine wamefeli maisha wakiongolea maisha mengine nje ya kutafuta pesa kuna maisha ya burudani tuache stress zisizo na msingi
Ahahah. Na nikileta uhuni ex anapewa taarifa tu😂Yaani na hapo ukijidai mjanja unashtakiwa kwa mama😅
AhahahahahahahSasa hapo kwenye kuchakatana ilitakiwa pajitegemee pawe na kama episodes mbili hivi🔥🔥🔥
Hapana mkuu, kungekua na shuda kwani?Nikajua umepiga raw meat.
Hamna shida ila huyu nahisi ni jiniKwani sisi wavaa mashungi tuna shida gani😎😎😎
Kwanini unahisi hivyo?Hamna shida ila huyu nahisi ni jini
Oya na ma ex wanavyopenda sifa, anajichukulia point 3 kwako😂Ahahah. Na nikileta uhuni ex anapewa taarifa tu😂
Mbon umefungua code zote mhusika akisoma si ataelewa kila kitu.Mkuu sio kila kitu chai.
Haya ona transaction hii niliopokea kwa mpesa toka crdb tarehe 4
View attachment 3686664
Kisha ona deposit hii niliorudisha kwa jamaa kesho yake tarehe 5 kuoitia crdb wakala
View attachment 3686666
Sasa udanganywe ili afaidike nani tajairi?
Mashungi, mganga wa kienyeji.Kwanini unahisi hivyo?
Ah hapana. Ni uvaaji wa kawaida kabisa huoMashungi, mganga wa kienyeji.
Hapana. Muhusika yeye hakuna anachojua kuhsu pesa, yeye anajua jilikua na hela tu sio namna nilizipata. Hata hakujua kuwa nilivyotoka nilienda kuoiga simu nitumiwe pesaMbon umefungua code zote mhusika akisoma si ataelewa kila kitu.
Nawaona wazee wa ID mpya, mnachakata mbususu humu then mnabadili ID ili muendelee dhambi Sana secure🤣🤣🤣Ahahahahahaha..long time eeehh!!??
Hapana bwana. Ile Id niliona imeshakata miaka ya kutosha nikaona sina budi kutafuta nyingine mpaka namba za simu nilibadili zote mwaka jana mwanzoniNawaona wazee wa ID mpya, mnachakata mbususu humu then mnabadili ID ili muendelee dhambi Sana secure🤣🤣🤣
majuto angeweza kuwa mtoto wa mtoto wako.Hapana mkuu, kungekua na shuda kwani?