Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Single maza mshkaji wangu.
Mshkaji wako wakati umemla ghorofani..!! 😹

Sema na wewe ulimuelewa usizuge hapa..

Kitendo cha kumpigia simu na kumwambia nilikua maeneo yako tayari ni ka mtego ulikua unakatengeneza..!!

Wanaume mnawaka tamaa, una budget ya elfu 30 upo safarini lakini kuona kei ya bure hii hapa, ukaona uingie deni UKAKOPA ili utimize lengo lako..!! 😹😹
 
Maisha yaendelee lakini naona kwa bongo ngono imekua zaidi, karibu kila siku ndio topic kubwa. Nahili nafikiri ma ccm yanalijua na yanalifurahia. Hivi kuna nchi Africa inawazidi wabongo kwa kushadadia ngono??? Lissu amefanya kosa kubwa sana kutovuta mkwanja na kusepa.
Huwa sielewi kwanini mnaona maisha ni userious tu na usiwe na kutamani vitu vingine? Lissu anaingiaje hapa kwa kweli huwa sielewi baadhi ya wabongo mnaonaga wengine wamefeli maisha wakiongolea maisha mengine nje ya kutafuta pesa kuna maisha ya burudani tuache stress zisizo na msingi
 
Bwana nyie wakuu habari zenu, nimekutana na scennario moja very very funny japo ni serious kwa upande mwingine.
Katika makujumu yangu ya hapa na pale, nika come accross mteja, ambaye mimi pasipo kukusudia nikajikuta tume exchange numbers. Ni juzi juzi tu kama wiki 2 zimepita ambapo mpaka napata namba yake alinitupia swali "hivi meneja unamiliki namba yangu kweli?" Nikamwambia "boss wangu mimi namba yako sina". Na kwakua mimi si mgeni kwenye hili eneo,nilifahamu lengo lake na hivyo nilipokua naongea kujibu hivo nikawa nachomoa simu yangu ,nikatoa lock na kumkabidhi, akachora namba yake akanirudishia.
Alipokua ananikabidhi alisindikizia na maneno kuwa "save jina langu, naitwa Aisha, usi save mama ......., mimi bado kijana bwana"😅, nikasema "hakuna shida", akaingia kwenye gari akaondoka zake na mimi nikaendelea na majukumu yangu ila nikazingatia, kum text ili apate namba yangu asije ona labda nina arrogance flani, ukizingatia alionyesha uchangamfu na she made the first move kuomba namba yangu.

Baada ya kum text jioni akajibu, tuka chat chat kidogo, plus nikawa na view status zake.
Sasa kama baada ya muda flan kupita siku moja nilifika town maeneo anakoishi na baada ya kumaliza ishu zangu nikiwa narudi kwenye majukum yangu, nikaona text Yake, jikamjibu kisha nikamwambia "nilikua around your areas, lakini nimeshageuka kuondoka".
Akanitumia voicenote kwa whatsapp "jamani una roho mbaya sana we mkaka, kwahiyo ukaona nitafaidi sana kama ungenijulisha kuwa unakuja pande hiz? Kwakweli nimekasirika"😅..
Japo hakua serious, ilikua ni utani tu. Nikamjibu "next time nikiwa na ratiba siku nyingine nitakuchek".

Baada ya kama wiki 2 hivi, nikawa napita pande hizo kuelekea mji mwingine, lakini lazima isimame hapo alipo, Makambako kwa dakika kadhaa, nikaona isiwe tabu, nikam text kuwa napita leo, akanambia "gari ikifika maeneo flani niambie, nije nikusalimie, najua huwa inasimama hapo kwa muda flani" nikasema "okay".

Na kweli nikafanya vile, ila kwakua sikua na haraka sana, nikaona acha nishuke kabisa, then nitachukua gari nyingine kuendelea na safari yangu.
Basi kweli akafika, ni dada flan ustadhati, very smart , anavaa kwa kujistiri sana, she has cute face pia. Basi tukaonana ,alikuja na bajaji, ikawa inamsubiri tunasalimiana pale, kiujana ujana (she is 33 by age), tuka hug kimtindo, na salam za hapa na pale. Basi akanitambulisha kwa driver bajaji pale "huyu ni flani, ni bajaji wangu" nikasema "ndio mambo yenu wanawake, boda wangu bajaji wangu, wanaume hatupendi kabisa mambo hayo"
Tukachekaa.

Actually lengo lake ilikua kuondoka , but nikumuwahi kuuliza "tukakae wapi tuongee nipate na breakfast maana nimetoka sijatia kitu tumboni" kisha nikatoa walet nikachuka hela nikampa boda baada ya kumuuliza "shilingi ngapi?".
Bas madam akatulia, akamwambia bajaji wake, " wewe nenda, nitakupigia unifuate".
Akasema twende mahala flani. Ni walking distance tu japo akataka tuchukue bajaji, nikasema kama sio mbali hakuna haja, tutembee tu, ilikua kama saa 4 hivi asubuhi, kasema "okay, japo tunatakiwa kuvuka barabara" nikauliza "so shida iko wap?" Akasema "mimi muoga sana kuvuka barabara" nikamwambia usijali.

Long story short tukafika a place, tukapata breakfast, tukapiga sana story, ni mwanamke charming, muongeaji na msikilizaji mzuri pia. Same same to me. Kwahiyo tukao ngea sana. Kiukweli the moment was gud. Nika learn kuwa she is a dirvocee, yuko na 2 kids, mmoja yuko nae mwingine kwa baba yake. Basi nikayajua ya kujua toka kwake na mimi nikamjuza yale nilioona yafaa kuhusu mimi, na yale aliouliza as well.
Story nyingi sana mpaka mchana huu hapa tuko hapo hapo restaurant,akaagiza chakula tukala.
Sasa nikaona mida inakwenda na kiukweli sikua nimeji set kwa bajet za yale yaliokua yanaendelea ,nilikua na 30,000 tu mfukoni kwaajili ya safari yangu.

Basi kama saa 8 mchana hivi nikamwambia "aisee sasa naomba nikuache, niendelee na safari"

Akajibu "oohhh jamani, mi sitamani uondoke bwana, tuendelee kuongea" nikamwambia nitarud siku flani nitakuchek nikiwa napita tena . Akasema "hutanikuta, nitakua safari, so vuta vuta muda basi".

Nikasema sawa. Bas katika maongezi nikaona kama anakua off mood, ule uchangamfu unapotea kidogo, nikauliza "nini shida" akasema "ujue huwa nina utaratibu wa kulala mchana na leo mpaka muda huu niko napiga tu stori hapa"

Aaaahh sasa kwakua D mbili ninazo na nina C moja ya ziada, nikaona enhee kumekucha!!. Nikamtazama straight machoni, nikauliza "hapa tulipo wana huduma ya rest rooms, upumzike"? Akasema yes!. Nikajua oohoh kumbe nililetwa mahala penye pamekamilika? Nikamwambia "ngoja nichukue room upumzike"
Akanitazama kwa kusita kidogo kisha akasema "okay, lakini......" nikajua anachotaka kuzuga , nikamkatisha na kusema "i know , usijali".
Nikatoka nje, kwakua sikua na pesa na ilikua jumapili, nikampigia mshkaji wangu mmoja, "oya, nimepata dharura ya kiume, nitumie, 70,000 nitakuchek kesho", jamaa akacheka sana kisha akasababisha muamala nikachukua room kisha nikarudi restaurant pale, nikamwambia "ready" basi tukapanda ghorofani, ili "akapumzike".

Na kweli tukaishia kupumzishana. Nika spend the night makambako. It was a good time. Kwakua pale ni maeneo ni mwenyeji, akapiga simu kwake, zikatumwa nguo zake na tuvitu vitu, kesho ikatukutia hapo na tukaagana tena asubuh nikatembea.

Sasa baada ya hapo, mawasiliano ya hapa na pale na nikaona mamsi anakuja kasi, aaahh na mimi nikaona okay, japo najijua nilivyo kwa sasa, attachment si kitu nataka hata kukisikia.

Katika stori stori baada ya hapo nikaja kujua alot about her, na moja ya mambo hayo ni kwamba

Mama yake mzazi ni mganga wa kienyeji 😅
Ex husband wake waliozaa nae pia ni Mganga wa kienyeji
😂😂😂😂😂😂😂😂😂

MOyoni nikasema "hiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiiiihh"
HIi ndio ile ukisikia wamakonde wanasemaga "ukiinama nchale, ukiinuka nchale".
Kwa kuniganda huku na kuona dalili zake, nisije gandishwa na gundi ya kiutamaduni nijikute nimesaliti misimamo yangu kwasasa.
Nikasemaa hapa dawa ni kuanza kujitoa haraka sana.

Mwisho.

NB
samahanini wakuu kwa kuwachosha na huu ujinga 😂
Mlitumia rubber
Or you fcked her without a rubber?
 
Mshkaji wako wakati umemla ghorofani..!! 😹
Ahahahahah....bado haiondoi ushkaji lakini
Sema na wewe ulimuelewa usizuge hapa..
Ofcourse she is cute nisiwe muongo
Kitendo cha kumpigia simu na kumwambia nilikua maeneo yako tayari ni ka mtego ulikua unakatengeneza..!!
Ahahahahahahah. Kiukwel kuna mitego nikitega lakini baadae , hapa kumjukisha hakkua hasa lengo kumtega nilitaka tu kuonana nae. Ila baada ya kukaa nae mida flan ndio uhuni ukaniingia
Wanaume mnawaka tamaa, una budget ya elfu 30 upo safarini lakini kuona kei ya bure hii hapa, ukaona uingie deni UKAKOPA ili utimize lengo lako..!! 😹😹
Ahahahahah. Hivi kuna K ya bure kweli. Maana niliigharamia na pesa nikampa kabla hatujaagana
 
Tushajua wewe ni meneja mkuu..
Ahahahah. Sasa kwani unaponiita mkuu, mimi kweli ni mkuu?
Au napokuita tajiri, wewe kweli ni tajiri? Haya ni majina tu ya kulainisha mazungumzo siku hizi. Mtu hata kama humjui siku hizi ni ishu easy tu kumuingia
 
Ahahahahah....bado haiondoi ushkaji lakini

Ofcourse she is cute nisiwe muongo

Ahahahahahahah. Kiukwel kuna mitego nikitega lakini baadae , hapa kumjukisha hakkua hasa lengo kumtega nilitaka tu kuonana nae. Ila baada ya kukaa nae mida flan ndio uhuni ukaniingia

Ahahahahah. Hivi kuna K ya bure kweli. Maana niliigharamia na pesa nikampa kabla hatujaagana
Nyie mlikutana wote mna ashki, nimeona hapo ostadhat alivyojiongeza eti huo ni muda wake wa kulala 😹😹😹

Huyo dada mkavu sana..!!

Aliona hujiongezi akaamua akule kimasihara..!! Na kafanikiwa.

Kama hana vipengele muoe umalizie uzee.
Hizo mambo za sijui mama yake mganga haihusiani..!!
 
Nyie mlikutana wote mna ashki, nimeona hapo ostadhat alivyojiongeza eti huo ni muda wake wa kulala 😹😹😹

Huyo dada mkavu sana..!!

Aliona hujiongezi akaamua akule kimasihara..!! Na kafanikiwa.

Kama hana vipengele muoe umalizie uzee.
Hizo mambo za sijui mama yake mganga haihusiani..!!
Ahahahahah.
Acha tuone kama vipengele vinahusika
 
Aaahhh bwana mdogo sasa ulitaka nieleze mchakato mzima kweli si itakua kuwaoosea adabu wakuu wa jukwaa hili? Lengo la uzi halikua mchakato wa kuchakatana ndio maana sijagusia yote hayo. Lengo liko mwisho kabisaa 😂
Sasa hapo kwenye kuchakatana ilitakiwa pajitegemee pawe na kama episodes mbili hivi🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom