Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Kwa hiyo unaogopa kuwΓ  na wakwe waganga wa kienyeji!
 
Kwa hiyo unaogopa kuwΓ  na wakwe waganga wa kienyeji!
Aaahh ndugu yangu!! Kabisaa unawaleza wazaz kwamba mama yake huyu ni mganga!? Bibi ya watoto wako ni mganga? Na wewe umelelewa kwenye dini, tena dini ya wazungu? πŸ˜‚.
Ngumu sana
 
mkuu huu mwaka tu nshadate na single maza zaidi ya 20 na bado naendelea nao, nachowapendea wanajitambua sana kila angle hawana drama za kitoto zaidi tu ukimzingua kidogo anampost mwanae status hahah πŸ˜‚

hawa madogo ambao hawajazalishwa bado wana mawenge sio poa
 
Au ana post biashara zakeπŸ˜‚
 
Ndo mana nikawa sikupati, ila sasa Security hadi namba za simu doh πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Acha kabisaaa. Dunia ina mambo mengi ila honestly kwasasa nina mengi ya kuzungumza na wewe kuhusu harakati zako zile kama bado una deal nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…