Ujinga ni tatizo kuu hapa Tanzania

Ujinga ni tatizo kuu hapa Tanzania

Unachanganya mambo, Kampuni karibia zote kubwa za China ni state owned, hapa kwetu raisi wako anasema Serikali haifanyi biashara
Tumeshawapa Kampuni kibao lakini zote zinaleta hasara,binafsisha..

Harafu hizo state owned za China hazikuja mara Moja Bali walisomeaha watu na wakafanya kazi Nje walivyopata uzoefu wakaja kwao ndio waka take over..

China ilianza private sector yaani wawekezaji then Wachina wakajifunza huko ndio wame take over..

Sasa Tzn ya ujamaa watu hawajui chochote kuhusu biashara and so wanatakiwa kujifunza Kwa private sector gradually wata take over eg ujenzi wa Sgr wamejifunza Kwa Waturuki na Sasa Kila kitu tunafanya wenyewe kuanzia design.
 
Lkn kujifunza siyo kuuuza Bandari kwa foreign Governments, hakuna mtu amefanya hivyo na akafanikiwa, ni nchi zikizopinduliwa tu labda ndiyo huporwa Bandari zao na foreigners …
 
Nani ameuza mzee
 
DP world wameliona ilo na wanazidi kumtumia kitenge,msukuma,ally azam na wale wote wanaomuona mwarabu ni bora kuliko mkataba
Kigogo wameshindwa kumlipa au ameshakwenda rogue?

IMG-20230701-WA0019.jpg
 
Lkn kujifunza siyo kuuuza Bandari kwa foreign Governments, hakuna mtu amefanya hivyo na akafanikiwa, ni nchi zikizopinduliwa tu labda ndiyo huporwa Bandari zao na foreigners …
Imeuzwaje? Huo ndo ujinga unaoongelewa kwenye huu uzi!!

Labda niambie Bandari imeuzwaje na imeuzwa shilingi ngapi?
 
Hoja ipi ambayo haijajibiwa?
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Una uhakika hizo hoja hazijajibiwa? Au zimejibiwa na hujataka kukubali hayo majibu?
 
Back
Top Bottom